Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,733
- 27,094
vijana msikubali kutumika kwa kulishwa maneno ya kulichukia taifa lenu na wazee walio kengeuka kwa kushawishiwa kuingia kwenya manachafuko yasio na ulazima wowote
Nasema hivi, tawi ilikuwa ni mambo ya kizamani. Kwa sasa watu wapo busy wanapata taarifa kwa njia za kisasa. Wazee ndio mtabaki nao na hayo matawi. Na ukitaka kuamini kuwa mko nje ya muda, subiri uchaguzi wa heshima uje, ndio utajua hamkukosea kuwa mnapora uchaguzi, maana dunia ilishabadilika nyie mkabaki na mbinu outdated. Kama hata kuvaa sare za ccm kwa mtiti wa siku 3 tu hamthubutu, hayo matawi yana kazi gani?Pole sana, hujui hata umuhimu wa tawi,na unaamini watz wote wapo mitandaoni
Na hiyo ndiyo sababu hamtoitoa CCM,kuna kundi kubwa mijini na vijijini hawana smart phoneNasema hivi, tawi ilikuwa ni mambo ya kizamani. Kwa sasa watu wapo busy wanapata taarifa kwa njia za kisasa. Wazee ndio mtabaki nao na hayo matawi. Na ukitaka kuamini kuwa mko nje ya muda, subiri uchaguzi wa heshima uje, ndio utajua hamkukosea kuwa mnapora uchaguzi, maana dunia ilishabadilika nyie mkabaki na mbinu outdated. Kama hata kuvaa sare za ccm kwa mtiti wa siku 3 tu hamthubutu, hayo matawi yana kazi gani?
Dah kama hii ndio point ya kutoandamana badi wewe mi punguani wa muda mrefu humu Jf.. bora useme tu siandamani sababu sina interest na siasa ila huandamani sababu unajiweza kiuchumi ...unajua Oct 29 kuna watu wanapesa za kutosha waliuliwa majumbani na hawakuandamana. Hela zako hazina chochote cha kufanya pale unapokaa kwenye target ya watesi.. wewe ni swali nyikani sema predator hajakuweka on sight siku ukiguswa hutaona hela zako na watoto wako wanaosoma vizur wakikusaidia.Mimi nilishasema siwezi andamana.Ninaishi vizuri.Watoto wangu wapo shule nzuri. Ninafanya kazi.Siwezi pushiwa na Mange au Maria.Maria hana watoto,Mange hana wazazi,kazi hana anamtegemea mme wake.Sasa mimi ambae ndo mboni ya familia nikaandamane for what. Afterall nipo vizuri tu.Millenian mimi nilizaliwa kipindi amabcho ukimaliza chuo kikuu kazi kumwaga kabisa.
Chadema kipo tangu 1992,ni TAL ndiye aliyeiongoza chadema kususia uchaguzi
TAL hawezi achiwa,ana kesi ya kujibu
Huyo ni mnafiki sanaPunguza unafki.
Maandamano yako wewe na nani wakati unayapinga?
Wewe kimekuzuia nini kuwa mstari wa mbele?
Unafki tu ndo unachoweza.
Kuishi kwa kutegemea watu wasiokuwa na taarifa ni kujidanganya mwenyewe. Ccm iliishia 2005, kuanzia 2010 ni mbeleko ya vyombo vya dola tu. Kama mnajiamini kwanini muendelee kuweka chaguzi za kihuni. Na ukitaka kuamini subiri chaguzi zitakazofanyika baada ya huu mtiti ndio utajua.Na hiyo ndiyo sababu hamtoitoa CCM,kuna kundi kubwa mijini na vijijini hawana smart phone
Endelea kujipa moyo, CCM itakutawala hadi mautiKuishi kwa kutegemea watu wasiokuwa na taarifa ni kujidanganya mwenyewe. Ccm iliishia 2005, kuanzia 2010 ni mbeleko ya vyombo vya dola tu. Kama mnajiamini kwanini muendelee kuweka chaguzi za kihuni. Na ukitaka kuamini subiri chaguzi zitakazofanyika baada ya huu mtiti ndio utajua.
TutaonaKosa lake ni kuizuia CHADEMA uchaguzi, Hivi una akili wewe?
Hii nchi haitakaa itulie, itakua ni mwendo wa Matukio baada ya matukio, mpaka mjifunze kutumia akili kutatua changamoto
Kilaza mmoja tu huyo mbinafsi kupitiliza unaangaika nae.Dah kama hii ndio point ya kutoandamana badi wewe mi punguani wa muda mrefu humu Jf.. bora useme tu siandamani sababu sina interest na siasa ila huandamani sababu unajiweza kiuchumi ...unajua Oct 29 kuna watu wanapesa za kutosha waliuliwa majumbani na hawakuandamana. Hela zako hazina chochote cha kufanya pale unapokaa kwenye target ya watesi.. wewe ni swali nyikani sema predator hajakuweka on sight siku ukiguswa hutaona hela zako na watoto wako wanaosoma vizur wakikusaidia.
Ili nao wawe wamehifadhiwa alipohifadhiwa Polepole au wawe wamewekwa pale alipo Lissu, fighting without strategies ni ujinga.Kujifariji.Hivi tuseme ukweli maandamano yetu Tanzania ni shaghala bagala.Wanaopush wote wapo nje ya nchi.Kikawaida wanaopush wanatakiwa wawe mstari wa mbele,on the field.
Mimi ni mwanafunzi wa Napoléon. Napoléon ni simba wa vita na bingwa wa strategies .Kushinda mapambano ni akili na stratégies na uwe na jeshi pia.Angalia hata M23 wanavyosumbua Congo.Hata hapo Kenya kina Raila kwanza hawakuwahi kususia uchaguzi.Una akili sana , hata vitani spirit inakuwa kubwa General akiwa mstari wa mbele vitani
Napoleon Bonaparte hata kwenye simu nina documentary zake nyingi , matukio na historia yake , jamaa alikichafua sana kwenye uwanja wa vita na huwa nachukua madini sana kutoka kwenye maisha , harakati na mbinu zake.Mimi ni mwanafunzi wa Napoléon. Napoléon ni simba wa vita na bingwa wa strategies .Kushinda mapambano ni akili na stratégies na uwe na jeshi pia.Angalia hata M23 wanavyosumbua Congo.Hata hapo Kenya kina Raila kwanza hawakuwahi kususia uchaguzi.
Kwa hiyo na kesho mtatufungia ndani? Manake genz wamesema hayana mwishoKujifariji.Hivi tuseme ukweli maandamano yetu Tanzania ni shaghala bagala.Wanaopush wote wapo nje ya nchi.Kikawaida wanaopush wanatakiwa wawe mstari wa mbele,on the field.
Yan ratiba zinatolewa ghafla tu waliotoa huwajui, waliopanga huwajui, wanapangia wapi hujui, kina nani viongozi hatujui, nini kinafuata baada ya maandamano hatujui, serikali ipi itaongoza nani aliwachagua hatujui.... Tupo tu kama mazombi maandamano maandamano!!!!Kujifariji.Hivi tuseme ukweli maandamano yetu Tanzania ni shaghala bagala.Wanaopush wote wapo nje ya nchi.Kikawaida wanaopush wanatakiwa wawe mstari wa mbele,on the field.
Tunaopushi tukiwa ndani tupo na wengine wameshauawa na wengine wapo jera kama kina lisuKujifariji.Hivi tuseme ukweli maandamano yetu Tanzania ni shaghala bagala.Wanaopush wote wapo nje ya nchi.Kikawaida wanaopush wanatakiwa wawe mstari wa mbele,on the field.
Kama kuna mtu kilaza basi ni Lissu.Lissu alitakiwa kushiriki uchaguzi. Ninakuambia kama CCM wangefanya kama walivyofanya 2020 hapo ndo Lissu angewaush watanzania wakinukishe.Na wangekinukisha kweli believe me ujue Samia apendwi.Hapo ndo Tanzania ingepata uhuru kutoka kwa wakoloni weusi.W
Tunaopushi tukiwa ndani tupo na wengine wameshauawa na wengine wapo jera kama kina lisu
We dada ni muongo balaaa🤭Mimi ni mwanafunzi wa Napoléon. Napoléon ni simba wa vita na bingwa wa strategies .Kushinda mapambano ni akili na stratégies na uwe na jeshi pia.Angalia hata M23 wanavyosumbua Congo.Hata hapo Kenya kina Raila kwanza hawakuwahi kususia uchaguzi.
No strategies,no solutions. Yaani Maria na Mange hawana akili. Na leo ndo mwisho wa Chadema.Yan ratiba zinatolewa ghafla tu waliotoa huwajui, waliopanga huwajui, wanapangia wapi hujui, kina nani viongozi hatujui, nini kinafuata baada ya maandamano hatujui, serikali ipi itaongoza nani aliwachagua hatujui.... Tupo tu kama mazombi maandamano maandamano!!!!