Hakuna askari aliyebeba Bunduki!

Hakuna askari aliyebeba Bunduki!

Nipo jf nafatilia mada alaf baadae kitaaa.. Baada ya makojoziii
1000232240.jpg
 
Kujifariji.Hivi tuseme ukweli maandamano yetu Tanzania ni shaghala bagala.Wanaopush wote wapo nje ya nchi.Kikawaida wanaopush wanatakiwa wawe mstari wa mbele,on the field.
Yaliopota hawakuepo pia
 
Kujifariji.Hivi tuseme ukweli maandamano yetu Tanzania ni shaghala bagala.Wanaopush wote wapo nje ya nchi.Kikawaida wanaopush wanatakiwa wawe mstari wa mbele,on the field.
Iko wazi kabisa kwa nini wako nje ya nchi. Taifa ambalo hata kuwakosoa tu watawala unabambikwa makesi ya kijinga wanaopush maandamano watakuwaje salama wakiwa ndani ya nchi?!
Inajulikana, wauaji wanatamani hao wanaharakati wote wangekuwa ndani ya nchi ili wawaue kwa kujidanganya kuwa ingemaliza sauti za kupinga!
Nchi hii ilihifadhi viongozi wa wapigania HAKI wengi kutoka mataifa mengi ya Afrika enzi za harakati za ukombozi. Tunajua umuhimu wa hao watu kuwa hai.
 
Kujifariji.Hivi tuseme ukweli maandamano yetu Tanzania ni shaghala bagala.Wanaopush wote wapo nje ya nchi.Kikawaida wanaopush wanatakiwa wawe mstari wa mbele,on the field.

Ndo unavofikiri, Maandamano ya MO29 yaliandaliwa na wenyewe huko huko serikalini baada ya kutofautiana.

Hao Wa Nje wameyadandia tu, Ndo maana unaina Wanajeshi walikua wana delay Juhudi za Polisi kufukuza watu mapema
 
Wanaopush wote wapo nje ya nchi.Kikawaida wanaopush wanatakiwa wawe mstari wa mbele,on the field.
Siyo kweli.
Siyo kwa watawala wauaji wa Tanzania. Hao wanaharakati wakionekana tu, itakuwa ni kutekwa, kuuawa, kufirwa.

Pia usisahau kuwa wapigania uhuru wa nchi za kusini mwa Afrika walipiga kambi Tanzania na kwingineko kukwepa kuumizwa na kuuawa na makaburu, wakoloni wauaji
 
Kujifariji.Hivi tuseme ukweli maandamano yetu Tanzania ni shaghala bagala.Wanaopush wote wapo nje ya nchi.Kikawaida wanaopush wanatakiwa wawe mstari wa mbele,on the field.
Wanaoshawishi vurugu hizo wao wanajali sana maisa yao hawataki kuchubuka hata kidole wengine wamekimbilia kenya ili kuhakikisha hawapati hata mkwaruzo wa mwiba,, sahivi wameagiza popcorn wanaangalia updates mitandaoni kuona nyumbu wanazozituma kama zimetoka au laa
 
Kujifariji.Hivi tuseme ukweli maandamano yetu Tanzania ni shaghala bagala.Wanaopush wote wapo nje ya nchi.Kikawaida wanaopush wanatakiwa wawe mstari wa mbele,on the field.
Nimetoka na hotpot kama napeleka chakula cha mgonjwa hospitali. Kitu cha kwanza ni weka mzigo chini, toa kitambulisho. Wamenikagua mifukoni sana na mgongoni. Hawa kwa jinsi walivyo na silaha ni sisi kupata silaha pia. Na haya maandamano hata kesho inabidi tusisitize yapo. Yaani lockdown iwe ya muda mrefu. Hapo kila mmoja atasikia maumivu yake.

Hao walioko nje ni haki yao kuongea, lakini wanaotekwa na kufirwa ni tuliopo nchini. Tunaoporwa uchaguzi ni sisi. Usitake kupotosha kuwa ni msukumo wa hao wa nje, kama wao ndio msukumo kuwa wanalipwa hela, serekali iwape hela ili wapush tuikubali serekali hii ya majizi.
 
Kujifariji.Hivi tuseme ukweli maandamano yetu Tanzania ni shaghala bagala.Wanaopush wote wapo nje ya nchi.Kikawaida wanaopush wanatakiwa wawe mstari wa mbele,on the field.
Pia maandamano ya siku ÿa mapumziko lazima ya feli tu
 
Back
Top Bottom