johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,138
Msiba sio karamu useme unatoa mwalikoAcha ujinga, una uhakika aliyetumiwa mwaliko ni Tulia na sio ofisi ya spika?
mwaliko ukitumwa kwa ofisi ya spika basi yeyote atakaye teuliwa kwenda anakwenda kwa niaba ya spika. Ni lazima aseme anamuwakilisha spika.
Kinyume na hapo itaonekana spika ameamua kupuuza mwaliko.
Ile ni shughuli ya kiserikali kama shughuli nyingine yoyote. Lazima ualikwe, haupeleki tu pua yako kwenye shughuli inayohudhuriwa na viongozi waandamizi wa serikali. Acha ujinga.Msiba sio karamu useme unatoa mwaliko
Hao ndo wanajiita MATAGAMsiba una mwaliko? Watz tuna shida gani? Tumedumaa akili au ni laana gani hii!
Acha ujinga, una uhakika aliyetumiwa mwaliko ni Tulia na sio ofisi ya spika?
mwaliko ukitumwa kwa ofisi ya spika basi yeyote atakaye teuliwa kwenda anakwenda kwa niaba ya spika. Ni lazima aseme anamuwakilisha spika.
Kinyume na hapo itaonekana spika ameamua kupuuza mwaliko.
Mwaliko wa kwenda msibani? Mataga mnatabu sana aisee.Acha ujinga, una uhakika aliyetumiwa mwaliko ni Tulia na sio ofisi ya spika?
mwaliko ukitumwa kwa ofisi ya spika basi yeyote atakaye teuliwa kwenda anakwenda kwa niaba ya spika. Ni lazima aseme anamuwakilisha spika.
Kinyume na hapo itaonekana spika ameamua kupuuza mwaliko.
Mbona unazidi kujivua nguo? Being Mataga is not justification for you to be an IdiotIle ni shughuli ya kiserikali kama shughuli nyingine yoyote. Lazima ualikwe, haupeleki tu pua yako kwenye shughuli inayohudhuriwa na viongozi waandamizi wa serikali. Acha ujinga.
Ile ni shughuli ya kiserikali kama shughuli nyingine yoyote. Lazima ualikwe, haupeleki tu pua yako kwenye shughuli inayohudhuriwa na viongozi waandamizi wa serikali. Acha ujinga.
Misiba siku hizi ina mialiko? Mbona wewe ndo mjinga kuliko mleta mada?Acha ujinga, una uhakika aliyetumiwa mwaliko ni Tulia na sio ofisi ya spika?
mwaliko ukitumwa kwa ofisi ya spika basi yeyote atakaye teuliwa kwenda anakwenda kwa niaba ya spika. Ni lazima aseme anamuwakilisha spika.
Kinyume na hapo itaonekana spika ameamua kupuuza mwaliko.
Eti ofisi ya Spika ilitumiwa mwaliko? Politicising everything!!!Msiba una mwaliko? Watz tuna shida gani? Tumedumaa akili au ni laana gani hii!