Hakuanza leo kutoheshimu mihimili mingine

Hakuanza leo kutoheshimu mihimili mingine

Kwani unaweza kusoma mkuu???
Ningeweza kukuwekea hapa reference za kusoma ujue ukweli lakini najua huwezi kusoma chochote kinachozidi page moja.

Jibu basi swali hili rahisi, Katiba ya Marekani iliandikwa na watu wangapi??
Watu 55 (hamsini na watano) tafuta kwy google "The Framers"
 
Ukitaka kuona umuhimu wa democrasia soma historia ya ulaya kabla na baada ya democrasia. Angalia walivyopata maendeleo ya kasi baada ya kuwaangusha watawala wa kifalme na kuleta demokrasia. Usipokuwa na demokrasia unaweza kuleta maendeleo ya haraka kwa muda mfupi lakini hayawezi kuwa maendeleo ya kudumu kwani yataharibika yote na kurudi kubaya zaidi ya mwanzo.
Huyu jamaa anabisha eti kama kuna.democracy hakuwezi kuwa.na maendeleo. Ni mfuasi wa JPM maana hiyo ni theory yake
 
Hata simuelewi. Naona amepanick sana anaongea vitu vingi kwa wakati mmoja na kuzihirisha chuki yake kwa magufuli.
Ni vyema yeye kama kiongozi hasipanick Bali aongoze na huo ndio uongozi
 
Asingeweza kuwauliza kwa maana aliwaumba wa mwisho baada ya kuumba vitu vyote ......ikawa jioni ikawa asubuhi; siku ya sita. Mwa. 1:26-

Hapo lipo fundisho kubwa kwa nini watu waliumbwa wa mwisho, wangeumbwa wa mwanzo pengine asingefanikisha kumaliza kuiumba dunia maana walipoumbwa wao tu ndio matatizo ya ubishi na kutofuata maelekezo yakaanza
 
Ukitaka kuona umuhimu wa democrasia soma historia ya ulaya kabla na baada ya democrasia. Angalia walivyopata maendeleo ya kasi baada ya kuwaangusha watawala wa kifalme na kuleta demokrasia. Usipokuwa na demokrasia unaweza kuleta maendeleo ya haraka kwa muda mfupi lakini hayawezi kuwa maendeleo ya kudumu kwani yataharibika yote na kurudi kubaya zaidi ya mwanzo.

Nimesema maendeleo kwanza ndipo demokrasia ije. Demokrasia si kwa ajili ya kuleta maendeleo ni kwa ajili ya kusimamia na kuimarisha maendeleo yaliyopatikana kutokana na mifumo mingine. Ndio maana katika uongozi tunasema hakuna mfumo mmoja wa uongozi unaofaa katika situation zote, bali kila aina ya mfumo unafaa katika situation Fulani hivyo pia hakuna mfumo usiofaa katika situation zote.Tukijituma kfikiri nje ya box tutatambua
 
Hasira za nini? Hoja ya msingi ni kuwa hamtaki Demokrasia na Utawala wa Sheria. Elimu yangu binafsi huwezi kuijua, naijuwa mwenyewe. Sipo hapa kuuambia ulimwengu lolote kuhusu elimu au uwezo wako wa kufikiri, sina haki wala nia ya kuingia kwenye aina hiyo ya malumbano.

Hakuna sehemu nilipokuuliza elimu yako,kama ipo ni quote name nitakuomba radhi. Nime comment juu ya ulichokiandika. Nimejibu hoja zako na kukupa ushauri na kutoa maoni yangu jambo ambalo ni haki yangu kidemokrasia.
 
Hiyo hukumu naijua, imepotoka na imekatiwa rufaa. Jaji alizingatia sheria ya ardhi ya vijiji badala ya sheria ya ardhi. Sheria imeweka wazi kuwa kunapokuwa na mgongano wa sheria kuhusu ardhi basi sheria ya ardhi na siyo sheria ya ardhi ya vijiji ndio itafuatwa. Sheria ya ardhi imetoa haki ya kipekee kwa reserved land ambayo ndani yake kuna hifadhi ya barabara.

Kwa sasa kuna hukumu mbili za mahakama kuu zinazopingana na zote zimepelekwa mahakama ya rufaa kwa maamuzi, ngoja nifuatilie kama hukumu zimetoka.

Nashukuru kwa kudai kuwa hukumu hiyo unaijua vyema. The facts of the matter ni kuwa katika miaka ya 1970"s hao wanavijiji walitolewa walipokuwa wanalima na kuishi na kinguvu kwa kuchomewa nyumba na mashamba yao serikali ya awamu ya kwanza na kuhamishiwa walipo sasa; ambapo baada ya miongo kadha serrikali hiyo hiyo inadai ni hifadhi ya barabara.

Sheria ya Ardhi ya Vijiji ya 1999 inatamka wazi kuwa itahusika na masuala ya nyuma kama hayo. Sheria ya Ardhi ya 1999 ndio ilitenganisha matabaka ya ardhi uliyoyataja. Hivyo Haiwezekani suala hilo la miaka ya 1970"s likaamualiwa kwa sheria iliyotungwa 1999, ilihali haikutamka kubeba hadi masuala ya nyuma.

Hivyo Jaji alikuwa sahihi kutoa maamuzi yake ndio maana hata katika ngzi ya rufaa Serikali ilishindwa na suala hilo la hukumu hiyo kuwa conclusive. Ninaamini kwa kuwa umedai unafuatilia utagundua ukweli huo.

Aidha eneo lolote linapotamkwa kuwa "Plannning Area" hata hifadhi za barabara zinzkuwa planned pia. Hivyo haiwezekani eneo lilopangwa kuwa na hifadhi ya barabara ya mita 120 toka katikati ya barabara kila upande. Ninaamini kwa kuwa unaonekana ni mtaalamu wa mambo ya kisheria utatujulisha kuhusu hilo
 
Kuna kesi mbili na zote zimeenda rufaaa. Sasa ni ipi mahakama ya rufaa imekubaliana nayo. Ni ile inayosema vijiji vina haki mpaka kwenye hifadhi ya barabara au ile inasema kinyume chake. Next week nami nitafuatilia huko mahakama ya rufaa.
 
Uamuzi wa Mahakama ya Rufaa ulishatoka kwa kuamua kuwa hukumu hiyo ni conclusive
Hukumu ni "conclusive"!!!. Katika maisha yangu ya sheria sijawahi kujua kitu kinaitwa hii hukumu ni "conclusive", ok labda ni kweli kwani sheria ni kitu ambacho sio kama hesabu. Katika sheria 2+2 jibu lake laweza kuwa 3.7 au 4.2
 
Hebu nielimishe ndugu yangu taifa gani hilo la Ulaya na Marekani lilitoka katika umasikini kwa kufuata demokrasi. Taifa ambalo lilikuwa masikini likafuata demokrasia likapata maendeleo, mimi silifahamu. Naomba nisaidie ndugu yangu.
Kama ameishakujibu naomba unitag
 
Nakumbuka alitaka kubomoa majengo kama ubungo prazzer,tanesco,nk ili apitishe ..mwendo kasi,duh!watu washukulu utawala ule ulikua na huluma na busara.

Mkulu yeye anatabia ya kufanya kile anachoamini yeye ndio anaona kinafaa,ogopa sana mtu wa aina hiyo.
Malanyingi mtu wa hivyo ni lahisi sana kufeli ktk mipango yake.
 
Back
Top Bottom