Hakimi na mchumba wake

Hakimi na mchumba wake

Hakimi muasisi wa hii kitu
4ded457a44c800a6be3149d975a5d8c4.png
 
Mnafurahia mnadhani huyo Hakimi mla vumbi! Huyo binti atakula good time kadiri anavotaka hayo mengine ni yenu.
 
Mwanaume atawaacha wazazi wake ataambatana na mkewe...

Salamu zimfikie mama Hakimi
Ni sawa ila akifika sababu ya mali atakutana na kitu kizito...hata aoe mara ngapi ...mali ziko kwa jina la mama..mama ni mama...fucked feminists...
 
Dada mwenyewe hana hata nyama kah!
Half sijui ndio fasheni ..kwani wacheza hao especially Islam hawaoni wanawake Wazuri wa kiislamu waliojisitiri vizuri wanaojua maana ya ndoa na familia wawaoe? Wanaoa makapi na manunga embe hayo..mtu unatembea uchi mtaani...unasema umevaa nguo...ustaa wa kipumbavu ...
 
Back
Top Bottom