Hakikisha ziwe zinatakata

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Mwanamke mmoja alikuwa haridhiki jinsi nguo zake zilivyokuwa zinafuliwa zikipelekwa kwa mwenye mashine za kufulia.
Siku moja akampa mtu ampelekee jamaa mwenye mashine afue nguo na kumpa karatasi ndogo iliyoandikwa
''ACHA KULIPUA KAZI,UNAPOFUA CH*PI UWE UNATUMIA SABUNI NYINGI MANA HAZITAKATI''
Jamaa alipopata ujumbe kweli alijitahidi,kesho yake mwanamke akatuma tena nguo na messages nyingine.
''NILISHASEMA USILIPUE KAZI,TUMIA SABUNI NYINGI UNAPOFUA CH*PI ZANGU,''
Jamaa alikasirika sana,alipomaliza kufua naye akaandika karatasi yenyewe message kisha akampa aliyekuja kuchukua nguo ili amfikishie huyo mwanamke.
message ilikuwa inasema.''HAKIKISHA UWE UNASAFISHA SEHEMU ZAKO ZA SIRI MARA KWA MARA ILI CH*PI ZAKO ZITAKATE''
 
Boa ulimwambia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom