Hakikisha unabakisha pesa,Hii siri mtanishukuru.

Moderator naomba muanze maandalizi ya RIP hii account.Mtaelewa ilikufaje
Screenshot_20260724-230830.png
 
Kuna mambo mengine unaweza kulalamika ngekewa ya pesa inakupita kumbe umesahau hii mbinu.

Pesa ni kama mvuto na sumaku ya kuvuta bahati na pesa nyengine.

Unapoweka pesa mfukoni hakikisha usiitumie hata kama aina matumizi we bakisha hiyo pesa ndio nguvu ya kulinda na kuvutia.

Wahindi wengi wanafanya hii siri ndio maana wanafanikiwa.
Chai
 
Siri sirini ukisiri siyo Siri Tena. Wewe umesiri hapa
 
Back
Top Bottom