ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,027
- 29,555
NDO ZENYEWE HIZO HAHAHAHAHAAu ndio law of attraction zenyewe mkuu?🤣
NDO ZENYEWE HIZO HAHAHAHAHAAu ndio law of attraction zenyewe mkuu?🤣
Hizo sadaka anakula Mungu?Mungu/Miungu
😅NDO ZENYEWE HIZO HAHAHAHAHA
Sio kweli, sema hizo fedha zinaliwa na wachungaji. Toka lini Mungu akahitaji fedha???Mungu/Miungu
A/C za wafanyabiashara tunaowaita milionea zina ma OD. Tufanyeni kazi kwa akili na bidii na akiba tuweke.Upo sahihi. Pesa huongezeka kwa makumi. Hii siri nilipewa na Babu yangu.
Mfano ili uwe milionea, hakikisha akaunti zako hazikosi mamilioni ambayo hayana matumizi. Ikiwa una akaunti CRDB, NMB na NBC. Basi ili sikumoja uwe milionea unatakiwa kuwa na akiba za mamilioni yasiyo na matumizi kwenye hizo akauti 3.
Unaweza kuanza kuwa na minimum ya 1M kwenye kila akaunti yako. Kisha njoo kwenye kila line unayomiliki kuwe na 1M isiyo na matumizi. Kama una M-Pesa, Yas. Kila moja iwe na 1M.
Baada ya hapo inafuata liquid cash. Uwe na 1M cash ndani kwako ambayo haina matumizi.
Hapo automatically unaanza kuwa milionea. Hizo zinavuta 10× na unakuwa na fikra za kupata zaidi. Utashangaa kila sehemu una 10M kama akiba Kisha ukizoea 10M kila sehemu unahamia kwenye 100M Kisha 1B. Na mawazo yako yanakuwa yanaendana na hicho kiasi.
Ila kama akaunti zako benki, simu, cash zinasoma 0, 100k,au chini ya 1M kamwe huwezi kuvuta pesa zaidi.
Hiyo ndio siri.
Wewe mbona unaijua hiyo siri lakini haufanikiwi, tatizo liko wapi?Kuna mambo mengine unaweza kulalamika ngekewa ya pesa inakupita kumbe umesahau hii mbinu.
Pesa ni kama mvuto na sumaku ya kuvuta bahati na pesa nyengine.
Unapoweka pesa mfukoni hakikisha usiitumie hata kama aina matumizi we bakisha hiyo pesa ndio nguvu ya kulinda na kuvutia.
Wahindi wengi wanafanya hii siri ndio maana wanafanikiwa.
Bila shaka ni pipi ivoryAlikupoteza mkuu, ukipata buku unatakiwa kula 200 tu 😊
Kwa maelezo yako kwa sasa nipo kwenye u lakionea maana nina laini kama 10 na zote zina kiasi kisichopungua laki 3 tatu.Upo sahihi. Pesa huongezeka kwa makumi. Hii siri nilipewa na Babu yangu.
Mfano ili uwe milionea, hakikisha akaunti zako hazikosi mamilioni ambayo hayana matumizi. Ikiwa una akaunti CRDB, NMB na NBC. Basi ili sikumoja uwe milionea unatakiwa kuwa na akiba za mamilioni yasiyo na matumizi kwenye hizo akauti 3.
Unaweza kuanza kuwa na minimum ya 1M kwenye kila akaunti yako. Kisha njoo kwenye kila line unayomiliki kuwe na 1M isiyo na matumizi. Kama una M-Pesa, Yas. Kila moja iwe na 1M.
Baada ya hapo inafuata liquid cash. Uwe na 1M cash ndani kwako ambayo haina matumizi.
Hapo automatically unaanza kuwa milionea. Hizo zinavuta 10× na unakuwa na fikra za kupata zaidi. Utashangaa kila sehemu una 10M kama akiba Kisha ukizoea 10M kila sehemu unahamia kwenye 100M Kisha 1B. Na mawazo yako yanakuwa yanaendana na hicho kiasi.
Ila kama akaunti zako benki, simu, cash zinasoma 0, 100k,au chini ya 1M kamwe huwezi kuvuta pesa zaidi.
Hiyo ndio siri.
La hasha.Kwani we ni mke wangu
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮We unayenijua mbona unataka kunishusha .kifo chako kina karibia heasabu JF