Hakikisha umetongozwa

Hakikisha umetongozwa

nakupa talaka kwa shingo upande eeee ee kwa shingo upande

nilikuwa sina amani hapa nyumbani kila siku maneno mama hayaishi

mara hivi mara vile kutengana kwetu kusiwe chanzo cha uhasama mama
dah hili lisongi ni noumer
 
Hizi nyingne ni ajali kazini na si mnajua ajali hazipangwi ni ghafla bin vuu
 
mpenzi wangu wa mwanza wala sikumtongoza...
 
hizo zakutokutongozana ndio nzuri maana ukishamega tunda bidada anaanza kuuliza so wat r we ...wee hapo kidume ndio unampa ukweli we just sexmates....the look on her face is priceless
Aisee wekareee!!
Mhh!
 
Sisi madomo zege..mtatukosa namna hiyo..
cc:vaislay
 
Tupo digital mkuu
Hii analogy ya kutongozana wakati mapenz yenyew hayadumu

Wanaume wenywe verse za kutongozea hawajui
ICHANA, tangu Jana unanihamasisha Sana..we ngoja Tu!!
 
Last edited by a moderator:
hizo zakutokutongozana ndio nzuri maana ukishamega tunda bidada anaanza kuuliza so wat r we ...wee hapo kidume ndio unampa ukweli we just sexmates....the look on her face is priceless

Mbaya wewe! Really bad..
 
Kijana kutongoza hakuna mpangilio/fomula hata mazungumzo ya kawaida yanaweza kumfanya binti akavutiwa na wewe, tatizo la vijana wa sasa mnapenda sifa za kijinga ndo maana mnatumia nguvu kubwa ya pesa kuwapata wasichana.

ewe mdada/mkaka hakikisha umetongozwa kwanza kabla ya kuanza mahusiano yakimapenzi na mtu yeyote.

ile stail yakuzoeana tu na mkajikuta mnafanya mambo wanayotakiwa kufanya wapenzi itakutokea puani, pale utakapoanza kufikia future na mtu kumbe walaaaaa hajui kama wewe nimpenz i wake,
 
Back
Top Bottom