Idiot, the principle is simple:
18 years old - Mimi Mdogo.
20 years old - Nipo Chuo na busy, niache.
23 years old - you are not my type.
24 years old - Hawa wanaume wa hapa chuo wanahangaika tu na first year, shauri yao.
25 years old - Upo Kazini, watu kazini hawaowi hata siku moja ... michepuko tu.
27 years old - Mbona hawanisemeshi, wananidharau.
30 years old - wanaume hawana maana, bora tu nijizaulie.
35 years old - Baba wa mtoto yuko wapi? hata simjui, ukichunguza alikuwa anauza kibanda cha chips,
USHAURI - UKIONA UNAPENDWA JARIBU KUPENDA ILA KUWA MWANGALIFU.