Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,275
Ili mpate ushahid au? Hehe
ushahidi muhimu,tena akutongozae hakikisha yuko sobber
Ili mpate ushahid au? Hehe
Kuja pembeni namuogopa miss neddy lol...mkwara aliopiga leo si wa kitoto
hahaha ustake kuniambia siku nyingi ulikuwa unammendea
Tulia basi...
Thidanganyikiii....najua mtego huo..wewe na dada yako mwallu nazijua akili zenu
hahaha jiamini nishakupa go ahead
Tupo digital mkuu
Hii analogy ya kutongozana wakati mapenz yenyew hayadumu
Wanaume wenywe verse za kutongozea hawajui