shamali
Senior Member
- Jul 6, 2013
- 186
- 56
mpenzi wangu wa mwanza wala sikumtongoza...
Huyo ni wa mwanza, wa wapi mlizoeana tu?
mpenzi wangu wa mwanza wala sikumtongoza...
Kuambiwa kwa mdomo dada yangu ni maneno tu. waswahili wanasema hata kwenye khanga yamo. Yani kusema ohhoo dada nakupenda umenivutia haya kila mtu anaweza kuyasema. Issue ipo kwenye matendo. Je, matendo yako yanaendana na maneno? Je, ni vema mtu aanze na lipi? maneno au matendo? Kimsingi matendo ndoo yanakuandaa mdada kupata maneno. Upo?hizo ni hisia tu,kuhisi unapendwa kumbe walaa hujaambiwa unapendwa, sasa mtu akikubadilikia utamlaumu, hajawahi kukuomba muwe wapenzi,nasisitiza hakikisha wote mnaelewa kuwa ni wapenzi, mmoja atongoze mwingine akubali
Huyo ni wa mwanza, wa wapi mlizoeana tu?
Mtu nnaempenda naomba asijekunitongoza kabisa make atanikata stimu
anizoee tu tuingie kwenye mahusiano kimtindo
ahsante....
Huyu mwingine a kilimanjaro, chagga baby, waala nae sikutia neno! story tu nikakuta tuko katika mahaba mazito! No strings attached...!
achilia mbali huyu mnyakyusa! duh! bahati hizi!
Huyu mwingine a kilimanjaro, chagga baby, waala nae sikutia neno! story tu nikakuta tuko katika mahaba mazito! No strings attached...!
achilia mbali huyu mnyakyusa! duh! bahati hizi!
Kuambiwa kwa mdomo dada yangu ni maneno tu. waswahili wanasema hata kwenye khanga yamo. Yani kusema ohhoo dada nakupenda umenivutia haya kila mtu anaweza kuyasema. Issue ipo kwenye matendo. Je, matendo yako yanaendana na maneno? Je, ni vema mtu aanze na lipi? maneno au matendo? Kimsingi matendo ndoo yanakuandaa mdada kupata maneno. Upo?
Ila yule wa sumbawanga ulimtongoa, bado kumtongoza tu.
tena kwa kuongezea,kutongozwa kwa maneno,kama mtu hajatamka unajifanya na wewe hujaelewa somo
ewe mdada/mkaka hakikisha umetongozwa kwanza kabla ya kuanza mahusiano yakimapenzi na mtu yeyote.
ile stail yakuzoeana tu na mkajikuta mnafanya mambo wanayotakiwa kufanya wapenzi itakutokea puani, pale utakapoanza kufikia future na mtu kumbe walaaaaa hajui kama wewe nimpenz i wake,
mkuu inaonekana wampenda saaaaana miss neddy eenh? hahahaa!
sinaga bahati ya kuzngushwa na wanawake kwenye mitongozano, mostly huwa nawachana, kama hunipendi, niambie nichape lapa mapeeema tusisumbuane! na kama wanipenda, basi tuungane tufanye yetu!
Thats my policy! -- sipendi zile za mara kesho mara mtondogoo! one day is enough to think about falling in love..!
Hahahaaaa! hebu jaribu kuanza kumfukuzia nione moto wako.!Mkuu ukimpiga kibut ni-PM
mkuu inaonekana wampenda saaaaana miss neddy eenh? hahahaa!
sinaga bahati ya kuzngushwa na wanawake kwenye mitongozano, mostly huwa nawachana, kama hunipendi, niambie nichape lapa mapeeema tusisumbuane! na kama wanipenda, basi tuungane tufanye yetu!
Thats my policy! -- sipendi zile za mara kesho mara mtondogoo! one day is enough to think about falling in love..!
Mtu nnaempenda naomba asijekunitongoza kabisa make atanikata stimu
anizoee tu tuingie kwenye mahusiano kimtindo
ahsante....
safi mrembo! thats my policy honey!Aaah we mura vipi..???
safi mrembo! thats my policy honey!
sipendi tantalila! za nini kwanza? muda wenyewe huu mdoooogo, kuna mambo mengi ya kufanya ati!
njoo pembeni nikwambie siri ya mafanikio nyengine! lol