Hakika wanaume mlibarikiwa,hongereni.

na tunapendeka
 
Tunawathamini wanawake tunaokutana nao ikiwa hata hatuwajui. Mf, kumsaidia mwanamke mzigo, kumuachia kiti kwenye dala dala mjamzito ingawa alifanya kule kwa raha zake, hatunaga muda wa kuuliza
Na hilo pia ni moja ya jambo kubwa mlilopewa na M/Mungu roho ya kusaidia
 
Mwanaume hatuwezi kugegeda wanawake 5 kwa siku moja ila mwanamke anaweza kugegedwa na wanaume zaidi ya 5 kwa siku moja
 
Uko sawa mama! Wanawake wakikaa wawili lazima kinuke ila wanaume hata tuwe kumi maisha yanaenda tu
pia wanachelewa kuzoeana...

Nlishangaa sku1 jirani kuvuka kota 2 Kaja kwangu kuomba kitunguu nkakwambia mbona umevuka wanawake wenzio kwenye izo nyumba? Akanijibu hajawazoea Ila mie kanizoea na anakata Kama wiki3iv tokea aje!!!
Kwa wanaume tofauti Sana tunazoeana ndan ya dk2 tuu
 


Hatujui kununiana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mwanamke aliyebarikiwa ni mmoja tu, Bikira Maria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…