Mziwandawamama
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 1,303
- 944
- Thread starter
- #181
KakaJambazi,KakaJambazi🙁🙁🙁Mwanamke aliyebarikiwa ni mmoja tu, Bikira Maria.
KakaJambazi,KakaJambazi🙁🙁🙁Mwanamke aliyebarikiwa ni mmoja tu, Bikira Maria.
Wale wako kimaslah zaidwale madada poa wanaweza kusex na mtu hata hawajawapenda ni wanaume?
Kwenye avatar yako kuna kitu nimekinote.Hahahaaa kwakua wanapenda kulia au
kwenye kuugua hapo umelenga,nna mwaka wa 4 cjui homa yoyote mimiAlafu kweli!!! Unakuta mmama kaingia kwenye daladala kabeba katoto kachanga, wanawake wote tunauchuna tena tunaongeza spidi ya kuchati tusionekane kama tumemuona.... Anatokea mkaka ndo anampisha siti! Duuh!!! Wanawake sisi!Tunawathamini wanawake tunaokutana nao ikiwa hata hatuwajui. Mf, kumsaidia mwanamke mzigo, kumuachia kiti kwenye dala dala mjamzito ingawa alifanya kule kwa raha zake, hatunaga muda wa kuuliza
Uliza tu mkuu usimuogopeKuna mtu natamani kumuuliza kama nayeye amebarikiwa
Hilo litakuwa swali la mwendo kasiKuna mtu natamani kumuuliza kama nayeye amebarikiwa
Ndo maana wanaume tunanunua Madada........Wana uwezo wa kusex na mwanamke hata kama hawajampenda
Labda pungaMwanaume zikimzidi huwa hacheki cheki?
pia wanachelewa kuzoeana...
Nlishangaa sku1 jirani kuvuka kota 2 Kaja kwangu kuomba kitunguu nkakwambia mbona umevuka wanawake wenzio kwenye izo nyumba? Akanijibu hajawazoea Ila mie kanizoea na anakata Kama wiki3iv tokea aje!!!
Kwa wanaume tofauti Sana tunazoeana ndan ya dk2 tuu
Wamebarikiwa Kutamani hata awe pastor atatamani tuWana uwezo wa kusex na mwanamke hata kama hawajampenda
Wanadai HysteriaWanawake huwa wanaugua kucheka cheka?
That's new wallah!
HapanaMwanaume zikimzidi huwa hacheki cheki?
note breastcancer ipo hadi kwa wanaume but kwa asilimia ndogo1.Mlipewa nguvu nyingi
2.Hamuugui magonjwa ya ajabu ajabu kama u.t.i ama kuchekacheka ama cervix&breast cancer
3.Hambebi ujauzito mlijaliwa kutengeneza tu huo ujauzito
4.Mnaheshimika popote mnaposimama na kuongea
5.Mnauwezo wa kukojoa kila mfanyapo tendo la ndoa hata kama umebakwa
6.Mlipewa uwezo wa kuvumilia na kuhimili mambo mazito na ya ajabu
KUMBUKA:Huu ni mtazamo wangu kama unakubaliana na mimi ongeza mengine niliyoyasahau na kama unapingana na mimi toa hoja kuntu nijifunze.
Nawapenda