Hakika wanaume mlibarikiwa,hongereni.

Hakika wanaume mlibarikiwa,hongereni.

1.Mlipewa nguvu nyingi
2.Hamuugui magonjwa ya ajabu ajabu kama u.t.i ama kuchekacheka ama cervix&breast cancer
3.Hambebi ujauzito mlijaliwa kutengeneza tu huo ujauzito
4.Mnaheshimika popote mnaposimama na kuongea
5.Mnauwezo wa kukojoa kila mfanyapo tendo la ndoa hata kama umebakwa
6.Mlipewa uwezo wa kuvumilia na kuhimili mambo mazito na ya ajabu

KUMBUKA:Huu ni mtazamo wangu kama unakubaliana na mimi ongeza mengine niliyoyasahau na kama unapingana na mimi toa hoja kuntu nijifunze.

Nawapenda
Ndio maana sijasikiaga siku ya wanaume duniani,,
 
Wana uwezo wa kusex na mwanamke hata kama hawajampenda
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] cha msingi na. Maarifaa tu
Jogoo wetu asmame bhas
 
Asanteeeeeee sana

Pia na nyinyi hongeren
Kwa upendo mlio jaaliwa
Pia kwa kusamehe mnapokesewa mmebarikiwa sana
 
Nimekupenda Jumla Dadaangu! We ndio wa kwanza kufunguka hapa J.F......Kila siku Tuwasifu nyie tu.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] cha msingi na. Maarifaa tu
Jogoo wetu asmame bhas
Ndo hvyo..ulipotelea wapi?
 
1.Mlipewa nguvu nyingi
2.Hamuugui magonjwa ya ajabu ajabu kama u.t.i ama kuchekacheka ama cervix&breast cancer
3.Hambebi ujauzito mlijaliwa kutengeneza tu huo ujauzito
4.Mnaheshimika popote mnaposimama na kuongea
5.Mnauwezo wa kukojoa kila mfanyapo tendo la ndoa hata kama umebakwa
6.Mlipewa uwezo wa kuvumilia na kuhimili mambo mazito na ya ajabu

KUMBUKA:Huu ni mtazamo wangu kama unakubaliana na mimi ongeza mengine niliyoyasahau na kama unapingana na mimi toa hoja kuntu nijifunze.

Nawapenda
Ahsante, nimekupenda bure.
 
Mimi ni mwanaume ila nikisapoti hiyo thread ni kumtukana mama yangu mzazi, na wewe uliyeandika unaonekana hauna mtoto kwaiyo bado unakua wewe!
 
Back
Top Bottom