Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
Asante mkuuHysterical disorder!!!
Asante mkuuHysterical disorder!!!
Kuna kaukweli fulani hapo!!!Ni kweli kwamba wanawake hampendani wenyewe kwa wenyewe?
Mkuu nadhani wew ndio mwanamke wa Kwanza kusifia uwepo wa wanaume, duh kumbe ugonjwa wa kucheka cheka kwa wanawake tiba yake ni wanaume!!!I value all men in my life...
Waliopita, waliopo na watakaokuja!
Hawa viumbe ukiwapatia ni raha sana kua nao karibu.
Umeosha nni inna... UmetishaaLakini nyie je mnafanya kwa matamanio yoyote tu mradi umeosha rungu![]()
kuna wa Dar na wamkoani...pia kuna bashite na kuna gwajima ?
Yupi hasa uliowakusudia?
KiseyeyeHujawai sikia hii!? Sijui ni ugonjwa gani ule!?
Pia hakuna tasa .....kaNo 1ilikuwa zamani kwa hizi chipsi na kuku wa miezi minne wamelegea kama nini na tena wamesababisha na zile kungu zetu zikapanda bei wanakula hatari , no 2kwa taarifa yako hakuna watu wanaumwa U.T.I siku hizi kama hawa jamaa bila kusahau tezi dume no nne unakumbuka yule mwanaume aliyebeba mimba marekani, vipi babaya yao wakina kim Kardashian?
Elton john chefuuuu usisahau samaki mmoja akioza .....
Kwa kifupi dunia kwa sasa inayumba yumba ni kumwomba Muumba atuepushe na haya ya sodoma
Agiza maji ya kilimanjaro au Savannah nitalipia mimiI value all men in my life...
Waliopita, waliopo na watakaokuja!
Hawa viumbe ukiwapatia ni raha sana kua nao karibu.

Maji yananitosha!!! Hiyo nyingine situmiagi! Asante mkuuAgiza maji ya kilimanjaro au Savannah nitalipia mimi![]()
![]()
Good good bibieMaji yananitosha!!! Hiyo nyingine situmiagi! Asante mkuu
Bibie nimejikuta tu naupenda sana Huu ujumbe wako na kuvutiwa na wewe kiurafiki tu, Addition ladies hawajui ila tu kama unataka kuarchieve something kaa na Men Fair tu Na ukajiheshimu that's allI value all men in my life...
Waliopita, waliopo na watakaokuja!
Hawa viumbe ukiwapatia ni raha sana kua nao karibu.
Hata na ninyi wanawake pia mmebarikiwa pia1.Mlipewa nguvu nyingi
2.Hamuugui magonjwa ya ajabu ajabu kama u.t.i ama kuchekacheka ama cervix&breast cancer
3.Hambebi ujauzito mlijaliwa kutengeneza tu huo ujauzito
4.Mnaheshimika popote mnaposimama na kuongea
5.Mnauwezo wa kukojoa kila mfanyapo tendo la ndoa hata kama umebakwa
6.Mlipewa uwezo wa kuvumilia na kuhimili mambo mazito na ya ajabu
KUMBUKA:Huu ni mtazamo wangu kama unakubaliana na mimi ongeza mengine niliyoyasahau na kama unapingana na mimi toa hoja kuntu nijifunze.
Nawapenda
aaaaaah dada tafadhali hapo kweny sexWana uwezo wa kusex na mwanamke hata kama hawajampenda
Rungu unaijua ile dawa ya mbuUmeosha nni inna... Umetishaa
Asante sanaHata na ninyi wanawake pia mmebarikiwa pia
1.Kuvumilia mimba miezi 9 na mtoto anazaliwa salama
2.Kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja.
3. Kuwa walezi bora wa familia
4. Kutuvumilia wanaume pamoja na visa vyote tunavyowafanyia
5. Kuvumilia njaa kwa muda mrefu na njaa kuzidi sisi
6. Mwanamke mmoja kugonganisha wanaume zaidi ya wawili
7. Kuwa na roho ya huruma, unyenyekevu, upole na utaratibu...
8.Kuwa na uwezo wa kubadili tabia ya mwanaume kwa namna moja au nyingine hata aliyekubuhu kiasi gani..
Wanawake wote...Heshima kwenu!!
[HASHTAG]#MalkiaWaNguvu[/HASHTAG]
Hahahaaa hapana hii sidhani km ni kweliMwanaume akiamua hata kunya amesimama hashindwiii