theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,715
nimekuelewa mkuu though kwa tamaduni zetu za kitanzania inakuwa ngumu sana dume kubakwa na mdadaSoma tena uelewe,ipo sahihi sio hivyo ulivyoharibu wewe
nimekuelewa mkuu though kwa tamaduni zetu za kitanzania inakuwa ngumu sana dume kubakwa na mdadaSoma tena uelewe,ipo sahihi sio hivyo ulivyoharibu wewe
Hujawai sikia hii!? Sijui ni ugonjwa gani ule!?Wanawake huwa wanaugua kucheka cheka?
That's new wallah!
1.Mlipewa nguvu nyingi
2.Hamuugui magonjwa ya ajabu ajabu kama u.t.i ama kuchekacheka ama cervix&breast cancer
3.Hambebi ujauzito mlijaliwa kutengeneza tu huo ujauzito
4.Mnaheshimika popote mnaposimama na kuongea
5.Mnauwezo wa kukojoa kila mfanyapo tendo la ndoa hata kama umebakwa
6.Mlipewa uwezo wa kuvumilia na kuhimili mambo mazito na ya ajabu
KUMBUKA:Huu ni mtazamo wangu kama unakubaliana na mimi ongeza mengine niliyoyasahau na kama unapingana na mimi toa hoja kuntu nijifunze.
Nawapenda
Wapo wanaume wanaolazimishwa kufanya mapenzi je wanabaka au wanabakwa.teh tehmasahihisho no 5 kubaka = kubakwa
Haha....usiseme hivyo hiyo ipo labda wewe haijakufika yaani kuisikia,nimekuelewa mkuu though kwa tamaduni zetu za kitanzania inakuwa ngumu sana dume kubakwa na mdada
Tatizo hilo kwenuWanawake huwa wanaugua kucheka cheka?
That's new wallah!
Ww huwezi kwa mwanamme?Wana uwezo wa kusex na mwanamke hata kama hawajampenda
AnhaaHapna uwa hatuchek ovyo na labda kuwa na hasira zisizo na msingi
sijawahi kusikia wala kuonaHujawai sikia hii!? Sijui ni ugonjwa gani ule!?
Nyegela disease one of the worst disease in the worldHujawai sikia hii!? Sijui ni ugonjwa gani ule!?
Sijawahi kuwaona wenye hilo tatizoTatizo hilo kwenu
Asante kwa kitambua umuhimu wetuI value all men in my life...
Waliopita, waliopo na watakaokuja!
Hawa viumbe ukiwapatia ni raha sana kua nao karibu.
No 1ilikuwa zamani kwa hizi chipsi na kuku wa miezi minne wamelegea kama nini na tena wamesababisha na zile kungu zetu zikapanda bei wanakula hatari , no 2kwa taarifa yako hakuna watu wanaumwa U.T.I siku hizi kama hawa jamaa bila kusahau tezi dume no nne unakumbuka yule mwanaume aliyebeba mimba marekani, vipi babaya yao wakina kim Kardashian?1.Mlipewa nguvu nyingi
2.Hamuugui magonjwa ya ajabu ajabu kama u.t.i ama kuchekacheka ama cervix&breast cancer
3.Hambebi ujauzito mlijaliwa kutengeneza tu huo ujauzito
4.Mnaheshimika popote mnaposimama na kuongea
5.Mnauwezo wa kukojoa kila mfanyapo tendo la ndoa hata kama umebakwa
6.Mlipewa uwezo wa kuvumilia na kuhimili mambo mazito na ya ajabu
KUMBUKA:Huu ni mtazamo wangu kama unakubaliana na mimi ongeza mengine niliyoyasahau na kama unapingana na mimi toa hoja kuntu nijifunze.
Nawapenda
Lipo asa boarding school za galsSijawahi kuwaona wenye hilo tatizo
Weka picha tuoneno 5 nimeipenda teh
Kumbe ndio maanaLipo asa boarding school za gals
Wanawake hawawezi?Wana uwezo wa kusex na mwanamke hata kama hawajampenda