albuluushiy
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 1,404
- 687
Wanawake ndio waongo namna moja wanaume wanaiga tu uongoKusema uongo pia walibarikiwa
Kwani hayo aliyoyaandika si ya kweli kwa mwanaume?Mimi ni mwanaume ila nikisapoti hiyo thread ni kumtukana mama yangu mzazi, na wewe uliyeandika unaonekana hauna mtoto kwaiyo bado unakua wewe!
Wako kibishara, na biashara haichagui mtejaMh!
Na wale wanawake wa kimboka na mfano wa hao,wao hua wanapenda wale wanaume?
Ha ha haWako kibishara, na biashara haichagui mteja
Sex for money not for leisure pale anakuwa amependa bobHa ha ha
haijalishi ni biashara au siyo biashara hapo inaonyesha dhahiri kwamba mwanamke ana uwezo mkubwa wa kusex bila kumpenda anayesex nae
Chezea tamu ww.Wana uwezo wa kusex na mwanamke hata kama hawajampenda
So unakubali kila mwanamke anayefanya sex except kahaba anakua anampenda huyo mwanaume?Sex for money not for leisure pale anakuwa amependa bob
Ndiooo, nenda huna hela kama atakukubaliaSo unakubali kila mwanamke anayefanya sex except kahaba anakua anampenda huyo mwanaume?
Hujanielewa Daudi,kwa kahaba nakubali kuwa yupo kibiashara.Ndiooo, nenda huna hela kama atakukubalia
hahaha ,.. yani wewena wanafanya kazi ngumu tunawachuna kisa makojoizi ya dakika tano
Kwa kiasi kikubwa mwanamke akikuvulia kyupi ujue amekukubal hata wewe haumpendHujanielewa Daudi,kwa kahaba nakubali kuwa yupo kibiashara.
Vipi kuhusu wanawake ambao siyo makahaba? wanafanya na wanaume wanaowapenda tu?
nasema ukwelihahaha ,.. yani wewe
kama trump... ujue kuna kaukweli fulani watu hawataki kukasikianasema ukweli
ndiyo ukweli unauma aiseekama trump... ujue kuna kaukweli fulani watu hawataki kukasikia
Ok nimekuelewa aiseeKwa kiasi kikubwa mwanamke akikuvulia kyupi ujue amekukubal hata wewe haumpend