Hakika wanaume mlibarikiwa,hongereni.

Hakika wanaume mlibarikiwa,hongereni.

Pia hata mwanaume azeeke vip ana uwezo wa kuoa kabint kadooogo.... Ila kwa sisi kadr umr unavoenda soko linapungua
 
Sasa si kwasabbu anataka kitu
Hapo tayari kashakua na uwezo wa kufanya bila kupenda.
The issue siyo kupata kitu,ishu ni kufanya bila kumpenda unayefanya nae
 
Wanawake huwa wanaugua kucheka cheka?

That's new wallah!
Labda ameliweka vibaya. .
Wanaume sio rahisi kuwakuta wanapata zile psychological breakdowns, hysteria mmezoea kuita. . .
But wanawakee. . . dah!! Ni too common hadi kwa walioolewa
 
Lakini nyie je mnafanya kwa matamanio yoyote tu mradi umeosha rungu
Siku hizi ni 50-50
Kuna wanaume wapo after sex but sio wote.
Kuna wanawake wapo kimasilahi but sio wote
 
Back
Top Bottom