Hakika ukiwekeza Akili utapata furaha ya kudumu

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,043
Ukiondoa akili yako kwenye mapenzi na ukaiwekeza kwenye kutafuta pesa,kutatua changamoto za watu,kujenga msingi mzuri kwa kizazi chako kijacho!maumivu ya mapenzi utayasikia wasafi tv!
Yaani mapenzi iwe kama unataka kwenda msalani kujisaidia tu ukibanwa na haja maana hakuna kiumbe anawaza kunya masaa yote bali tu pale anapobanwa na haja!
Ukifanya hivyo kwenye mapenzi utajisikia mtu huru sana!
Wamasai wamefanikiwa sana kwenye hili yaani anawaza ng’ombe kuliko hata mwanamke!ndio maana huwezi kusikia Masai analialia wivu ama kujinyonga kisa mapenzi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom