Bornventure
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 529
- 523
Sasa kama vipi si uhame nchi tu na wewe uwe mmalawi.
Apambane na hali yake huko Lilongwe japo liinchi letu lishakuwa halina baraka za MunguNakumbuka kuna mwaka watu wa MBEYA walionekana kuwa kituko nchi hii pale walipotangaza uzinduzi wa Jengo na wakalinadi kuwa (Jengo la kwanza kuwa na Lift mkoani MBEYA) . nilichogundua ni kwamba WATANZANIA wote hatutofautiani na MBEYA na hii imethibitika wakati wa kuwasili kwa BOMBERDIER nchini .
Kweli bado nashangaa Kununua ndege 1 yenye kubeba watu 76 inakua ni shughuri ya Kitaifa !!!!??? Kweli ??? Mpaka marubani wanapokelewa kama diplomats flani !? Hivi nchi za wenzetu mf Kenya, uganda , Rwanda hawajawai kununua ndege !? Au nbomberdier ni ya kiwango cha juu saana !?. Kuna rafiki yangu mmalawi anaicheka sana Tanzania tangu Jana sasa najikuta nami kama nakubaliana nae hivi !
Nakumbuka kuna mwaka watu wa MBEYA walionekana kuwa kituko nchi hii pale walipotangaza uzinduzi wa Jengo na wakalinadi kuwa (Jengo la kwanza kuwa na Lift mkoani MBEYA) . nilichogundua ni kwamba WATANZANIA wote hatutofautiani na MBEYA na hii imethibitika wakati wa kuwasili kwa BOMBERDIER nchini .
Kweli bado nashangaa Kununua ndege 1 yenye kubeba watu 76 inakua ni shughuri ya Kitaifa !!!!??? Kweli ??? Mpaka marubani wanapokelewa kama diplomats flani !? Hivi nchi za wenzetu mf Kenya, uganda , Rwanda hawajawai kununua ndege !? Au nbomberdier ni ya kiwango cha juu saana !?. Kuna rafiki yangu mmalawi anaicheka sana Tanzania tangu Jana sasa najikuta nami kama nakubaliana nae hivi !
hilo siyo jibu nyau weye....Rais anapokea ndege outdated,wakati ilitakiwa ipokelewe na mkuu wa mkoa au waziri husika tu,hii ni sawa na kunywa soda siku ya sikukuu tu.Sasa kama vipi si uhame nchi tu na wewe uwe mmalawi.
MLETA MADA ANA NIA NZURI ILA MAJINGA YANAKEBEHI.Kweli sie watanzania aise nadhani tunaojielewa hatuzidi laki, the rest ni hopeless kabisa
Malawi kumbe sikuizi Lilongwe kama NYCSasa kama vipi si uhame nchi tu na wewe uwe mmalawi.
wasukuma hao wakiongozwa na mh. JIWe na mwanae BashiteSasa kama vipi si uhame nchi tu na wewe uwe mmalawi.
ndege nikitu kidogo sana,Mzungu akifanya kitu kidogo hata kuwapa pampasi za watoto wenu mnajikusanya kupiga nao picha eti wanawapenda ...ndege tena kenyewe "kamoja tu kadogo" kamenunuliwa watu hawaachi
kukukusanyika kukapokea ...Hii ndio Afrika waliko watanzania. Hatujui tufanye nini na tuache lipi.
Hivi kwani tulitakiwa kufanya kipi alafu labda tusifanyeje tena?????