Nitaleta majina yangu kamili soon.. Stay tunedWakuu kwa hali ilivyo uraiani... Sasa binafsi namsubiri Dr slaa afike Mbeya mjini ili nimkabidhi kadi yangu ya ccm.
Nafanya haya baada ya kujitambua na kuona uonevu umevuka mipaka kwa wananchi.
Ccm sasa wamefikia kukanyaga mstari mwekundu..... Nasema Dr slaa akifika tu namkabidhi vifaa vyote vya kazi toka ccm na kujiunga rasmi Chadema.
Asanteni.
Ulichelewa sana,lakn karibu tuendeleze mapambano dhidi ya CCM
Huyo Slaa asipofika hautarudisha kadi? Na akifa hautahama chama? Mbona nyie vijana mko kama mmelogwa!Wakuu kwa hali ilivyo uraiani... Sasa binafsi namsubiri Dr slaa afike Mbeya mjini ili nimkabidhi kadi yangu ya ccm.
Nafanya haya baada ya kujitambua na kuona uonevu umevuka mipaka kwa wananchi.
Ccm sasa wamefikia kukanyaga mstari mwekundu..... Nasema Dr slaa akifika tu namkabidhi vifaa vyote vya kazi toka ccm na kujiunga rasmi Chadema.
Asanteni.
Mkuu.... Si mbaya sasa ni mtaa kwa mtaa.. Nakaa itezi mashariki .mwenye number ya simu ya Katibu wa tawi hili anisaidie nimpate Katibu Wang itezi tupate diwani na wenyeviti wa Cdm.
Mbona unqchangia mada wewe mwenyewe, kulikoni?
Tumia akili wewe.. Si wote tulao njugu mawe zenu za ccm. Huyu dr slaa ni kiongoz wangu na ntamuheshimu pia anajenga hoja sana na hata kufa Leo wala kesho... Utakufa weweHuyo Slaa asipofika hautarudisha kadi? Na akifa hautahama chama? Mbona nyie vijana mko kama mmelogwa!
Unaongea kama umevimbewa njugu mawe.
Labda niseme tu... Huku mm ni Katibu wa ccm tawi la itezi mashariki.... Nasema namsubiri mtu nlompenda siku zote na kumpa kura yangu 2010