Hakika Nimefika

Hakika Nimefika

Brevis

Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
6
Reaction score
2
Habar wana JF.

Mimi ni mgeni hapa i mean ndo najoin Jaman mapenzi ya kweli yapo baada ya kuteseka kwa muda mrefu nimepata pumziko la moyo wangu nampenda sana mpenzi wangu na naamini yeye ndio wangu wa Kufa na Kuzikana.
 
Habar wana JF mim ni mgen hapa i mean ndo najoin Jaman mapenzi ya kweli yapo baada ya kuteseka kwa muda mrefu nimepata pumziko la moyo wangu nampenda sana mpenzi wangu na naamini yeye ndio wangu wa Kufa na Kuzikana

baada ya dhiki faraja na baada ya faraja ni dhiki......usibweteke
 
Kuna msemo wa mtaani unasema kuwa maskini hafulii,yaani anachokitarajia maskini ni kupata kwasababu yeye hana

Ukiepeleka huu msemo kwa matajiri ni kuwa wao wanachotarajia ni kufulia kwasababu wao wanavyo

Sasa wewe once ulikuwa maskini wa mapenzi sasa umetajirika,ukiutazama huo mfano hapo juu nadhani unakijua unachokitarajia

Take care .....!!
 
Habar wana JF mim ni mgen hapa i mean ndo najoin Jaman mapenzi ya kweli yapo baada ya kuteseka kwa muda mrefu nimepata pumziko la moyo wangu nampenda sana mpenzi wangu na naamini yeye ndio wangu wa Kufa na Kuzikana

Are you male or female or shemale?
 
mapenzi ya kweli yalishazama siku nyingi na meli ya Titanic
 
Subiri mfunge ndoa kwanza halafu ndo ushukuru kwa kupata mwenza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom