Hakika Lowassa Alivunja Rekodi Kuingiza Wanafunzi Wengi Sekondari!

Mpaka wafanye wazungu? Mbona kuna mtaalam asilia kutoka Shinyanga anatengeneza mvua!

Ufisadi wake ndio uliomfanya awatafute wa Thailand na kule alikuwepo waziri mkuu rafikiye ambae alifukuzwa kwa ufisadi; sasa kama angemchukua huyo wa Shinyanga mshiko wake angeupataje?Fisadi ni Fisadi tu.!!
 
Companero,

..matokeo ya mpango wowote ule wa elimu ni QUALITY ya wasomi wanaohitimu.

..Naibu Waziri wa Elimu, Mh.Ludovick Mwananzila, alilaumu kwamba zoezi hili la shule za sekondari za kata limefanyika kwa kukurupuka bila umakini.

..binafsi siwezi kumuandikisha mwanangu ktk shule ya sekondari ya kata. kwa msingi huo siwezi kumpongeza kwa ujenzi wa shule zile.
 
Back
Top Bottom