Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
kwenye hizo takwimu zako umepata pia takwimu za drop-out? maana hapa sio swala la kuanza shule, swala ni kumaliza na kuelimika. wengi wa waliokuwa wanaingia sekondari walikuwa hawajui kusoma wala kuandika vizuri hata wenyewe sometimes walikuwa wanashangaa walifaulu vipi. na matokeo yake, wengi wameshindwa kabisa kuendelea na shule.