haki za msingi za binadamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

haki za msingi za binadamu

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by nyamihela, Mar 16, 2012.

 1. nyamihela

  nyamihela Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haki za msingi za binadamu ni zipi? na kama zikivunjwa natakiwa kuchukua hatua zipi na sehemu gani?
  haki hizi zimeanza lini na zinapatikana ibara ipi katika katiba?
   
 2. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mkuu chukua katiba ya jamhuri ya muungano wa Tz toleo la mwaka 1977 usome kipengele kinachohusu haki za binadamu
   
Loading...