Haki ya Mungu Watanzania tumerogwa

Kwani yeye alikuwa anawafanya nini wabunge/watu waliokuwa wakihoji mwenendo wa serikali awamu ya 5?, alimfanyia nini CAG, prof assad? Hoja yake ina mashiko lakini kwa sasa watu hawaipi uzito sana, kutokana na aliyowatendea watu, akishirikiana na jiwe.kwani kama kweli Tz, ingekuwa na mihimili 3 iliyowazi wala hii haikuwa inshu kubwaa!!
Jpm anasemwa amekopa sana kwa kulinganishwa na awamu ya 3, na 4 tu, miaka 5, trilioni 29?!!ingefika 10, je?na huyu atapimwa tu, kibaya zaidi jiwe alikuwa anasema yeye hakopi pesa yote ni ya ndani?yule naye uongo ulizidi mno, ili kujijengea sifa za kipuuzi!!!

Mafala wengi huwa hivyo
Kumtetea mbaya kwa woga
 
Yaani watu tunashangilia kujiuzuru kwa ndugai kisa kahoji mikopo Dah hiyi nchi ngumu sana

Kabisa serious tunafurahia na tulipiga
Na makelele ajiuzuru ajiuzuru kisa tu kwa kuwa historia Yake ya nyuma ilikuwa mbovu muda mwingine hata saa mbovu inasema ukweli

Kuna muda hadi machozi ya nani toka kuona watanzania wenzangu jinsi tulivyo pigwa kipapai nazani alie tuloga kafa

Na mwingine kwa ujasiri anasema rais aliyepita ndie raisi aliyeongoza kwa kukopa kuliko wote vipi huyu yupo nje
Ya madaraka si bado muda wake unapima kwa vigezo vipi ? Mpaka unatoa kauli kama hiyi

Mnaniacha hoi sana watanzania wenzangu hiyi nchi ngumu ngoja tu nitafute viza

Kwa tabia hii ya mama enu kila atayeonesha kutaka kiti chake atakuwa adui yake
Sasa ndio siasa gani sasa hizi?

Umeme umepanda,mafuta juu,pembejeo juu, nk

Alafu watz kwa akili zetu hatuoni hayo tunakenua meno kushangilia

Mmerogwa nyinyi sio bureee
Tangu lini Ndugai alihoji jambo , huyu si ndio alitaka Magufuli atawale milele , pale alitumia vigezo gani ?
 
Huyo boya hana point, hizo tozo si zipita bungeni kwanini hakuhoji huko au kuzuia zisipite? Ni stress tu za 2025, naungana na Mh. Raisi
Wee ndio uelewi kitu kabsa CYO kwamba ajapitisha hzo tozo anashanga kuona mama anaenda kukopa Tena wkt huohuo Kuna tozo uoni kuwa Ni mzigo kwa wanaichi na taifa ndugai Ana point za msingi kbsa sema tu

History yake ndio inamuhukumu ndugai alikuwa na Nia njema kbsa
 
Huna akili wewe! Kwani kusimama na kupinga Ndugai kuondolewa kwa kutoa maoni yake ni kuunga mkono matendo yake mabaya ya zamani? Sasa nchi utairekebishaje kwa vizazi vijavyo kama hutakemea kuminywa kwa uhuru wa watu bila kujali anayenyimwa huo uhuru ni mwema au mbaya? Sasa jiulize ni nini positive impact ya Ndugai kujiuzulu? Ni -ve impact tu kwa kuwa sasa kila mtu katika serikali na Bunge ataogopa kumhoji Rais akikosea. Hapo tunanufaika na nini kama nchi sakata la Ndugai? Myopic
Huu mchezo hauhitaji hasira chief. Naona una jaziba sana . angalia usije ukapaya pressure
 
Tumeumia pamoja Mkuu, inasikitisha na kuhuzunisha sana nchi maskini kama hii kushangilia na kushadadia upuuzi. Leo kuhoji ni kosa? Mpaka mwenyekiti wa mama KAUPIGA MWINGI (UVCCM) anashindwa kuheshimu kiongozi wa mhimili! Kweli? Eti wanamshinikiza ajiuzuru Naye akatii kweli?

Ni demokrasia na UHURU gani tulioulilia? Kama kiongozi wa mhimili anazalilishwa hadi sasa hatuoni umuhimu wa kuwa na katiba itakayo ondoa the concept of a king can do no wrong?

Guys kwa hili Kama nchi tusahau mabadiliko.

Anyway it is a transition period all these are necessary, UPINZANI TULIZENI AKILI SASA.


TIME HEALS ALL WOUNDS



Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu "asie na dhambi na awe wa kwanza kumpiga jiwe" ila sisi kwa kweli tumerogwa
Unacho jua wewe kuhusu ishu ya ndugai ni hoja ya mkopo lakini yapo mengine yanayo muhusu ndugai na genge lao
 
Huyo Ndugai alikuwa kinara wa kuzuia maoni huru ya wananchi, akawa analinda ukatili wa Magufuli. Sasa mnamuita nani aungane na nyinyi wakati tunajua hampiganii wananchi bali maslahi yenu kwa backup ya wananchi. Vuneni ushenzi mliopanda ndio akili itawakaa sawa.
Sawa ila watanzania tumerogwa
 
Tatizo haujui yaliyopo nyuma ya pazia.
Ndugai Ana chuki na SAMIA huo ndo ukweli.tanzania hatujaanza kukopa leo Wala jana kwanini asihoji mikopo kipindi Cha MAGUFULI?
mbaya zaidi anasema nchi itakuja kuuzwa.yaani mpaka amiri jeshi mkuu naye atauzwa?
Huyu kamtukana samia.
Ilitakiwa Sasa hivi awe MAHABUSU
 
Back
Top Bottom