Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,971
Juzi juzi CCM imetoa tamko kwamba watumbuliwa yanayoitwa "majipu" wanapewa haki ya msingi ya kujieleza.
Haujapita muda tunaona mama Anne Kilango akitemeshwa nafasi ya Ukuu wa Mkoa na alipohojiwa alidai kuwa hana taarifa!
Kama hakupewa nafasi ya kusikilizwa kwa kweli hakutendewa haki.
Hakimu akiona jambo kwenya TV kisha akatoa hukumu atakuwa ametenda haki?
Kama amepewa haki hiyo sina neno kabisa na adhabu maana wateule wa Rais wanateuliwa at his (President) pleasure!