J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 705 Reaction score 1,228 Apr 2, 2021 #1 Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa haki kwa kila Raia kupata taarifa muhimu Kupata taarifa kuhusu mambo na mipango ya maendelo inayofanyika kwenye Halmashauri yake ni haki ya kila mmoja Kila Halmashauri inapaswa kuweka kwenye mbao za matangazo taarifa kuhusu fursa za uwekezaji au ajira zilizopo kwenye Halmashauri hiyo Je, unatembelea ofisi za Halmashauri kufahamu fursa za maendeleo zilizopo? Upvote 0
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa haki kwa kila Raia kupata taarifa muhimu Kupata taarifa kuhusu mambo na mipango ya maendelo inayofanyika kwenye Halmashauri yake ni haki ya kila mmoja Kila Halmashauri inapaswa kuweka kwenye mbao za matangazo taarifa kuhusu fursa za uwekezaji au ajira zilizopo kwenye Halmashauri hiyo Je, unatembelea ofisi za Halmashauri kufahamu fursa za maendeleo zilizopo?