Mwambie huyo! na asubiri kunyonyesha tu, na siku mkewe akimwambia leo avae kitenge atavaa.
Asante nimependa hiyo minusoo, haya ....Tabia km ipii mzee wa minusoo?
Aibu aibu..... nilimsema mpaka akanikoma Jana. Akapanga vitu vyake eti anarudi kwao. Nikamwambia akasimulie yaliyotokea bila kupotosha lolote, akaogopa na kurudi ndani....
Namuandalia somo lake LA wajibu wake wa ndani!!!
Sizan kama alimka tu akawa na kaz ya kuosha vyombo na kununua nyama vikaz vya nyumban huonekana vidogo lakin huwa haviishi usipoangalia unaweza kujikuta hupumziki
mwenzangu, huyu mtoa mada akazane na asilegeze hapo. Huyo bibie keshaanza kuleta tabia za ajabu nadhan hata hao wa haki sawa wanaosimama kwenye majukwaa hawasemi hayo wala kufanya nyumbani kwao
kazi gani hizo za kukosa kupumzika au uchoke asubuhi hivyo? Tena wako wawili zao, loh. Tusitetee tu, mara nyengine tunazidi.
Kwani angensaidia angepungukiwa nn lakn?
Huyu dada angu sijui mkurya au mchaga!!!! Kwa kupenda ligi za hoja hujambo. Hahahaaaa...
Msalimu mumeo. Natamani nimwone siku moja...
kazi gani hizo za kukosa kupumzika au uchoke asubuhi hivyo? Tena wako wawili zao, loh. Tusitetee tu, mara nyengine tunazidi.
Shukuru hukunioa mie mana ungeivunja ndoa kabla hata ya kumaliza mwez
kuna baadhi ya wanawake sijui wanawaza nn, yaan mwanamke mzima haoni hata aibu ananuna kisa hajasaidiwa kuosha vyombo au kupika!! Hvi kaz yake ni nn hasa? Aisee ningekuwa mm angekoma kuniropokea ujinga kama huo naamin angeshika adabu hata kama hakufundishwa na wazaz wake shiiiiiit!
Sio kweli. Mimi mbishi.... napenda challenge. Na ya ndani yanabaki ndani. Labda ungekimbia wewe
Thubutu hayo madogo tu umeyaleta hapa na mkeo akataka kurud kwao ukampa vitisho badala ya kumbembeleza yangu mie ndo usingeyaweza asilan
Kwani angensaidia angepungukiwa nn lakn?
angesaidiwa ila siyo kwa njia hiyo. Hajui kula na kipofu, mwanaume hataki kufanyiwa kama ni sheria, anabembelezwa kwa maneno matamu na siyo kupewa amri.
Mi ndo mwisho wa reli. Ataisoma namba.
Msomeshe uyooooo
msaidie ila siyo kwa aproach hiyo. Muda mwengine tunahitaji msaada
ukijibembeleza mwanaume mbona anaelewa. Labda atakuwa ameskip ile sehemu ya kichen party