Hii research irudie tena brooo..
Nijuavyo Mimi mwanzoni wanajaribu kukutenga kisaikolojia na familia yako kisha kukufanya umsikilize kwa kila kitu asemacho na ukitende atakavyo. Thereafter reactions zako zinaweka mambo sawa na kuzoweana.
Am not stupid as u think
Ulazima upo mana hukuoa housegal
Unategemea kufaulu bila kusoma? We na Mungu tuu.... Jaribu.
Kwa hali uliyonayo jitayarishe kwa mshangazo (surprises). Kama umeshindwa kutunza nyumba mkiwa wawili, nina wasiwasi utaweza kuitunza familia ikiongezeka. Nina wasiwasi huyo msaidizi anafanya kila kitu, hata usafi wa "mazingira yako na mumeo" na hiyo ni sumu katika ndoa yako. Haijalishi uwezo mlionao, majukum yaliyopo. Ni muhimu kuwa mama wa nyumba, ni lazima kuongoza nyumba yako...sasa kama unamuachia msaidizi mapema hivi...sijui

mmmmh! Uspanik mkuu hapa tunajadiliana tu na kupeana elim ndogo. Kwasababu tumesoma vyuo tofauti na wakufunzi tofauti, wapo waliokulia mazingira ya kimayai, ya kidikteta, na ya kawaida....... Kama mm nilifundishwa hata kupika na kila kitu. Lakin nikawa napewa na muongozo wa majukum.... Ya mwanaume nikapewa na ya mwanamke nikapewa.
Sijatoa hukumu yoyote hapo, ni kutokana na hoja uliyoleta..ukihusisha maisha yako, mimi nimetoa assumption tu kuwa katika hali kama hiyo, uwe na tahadhariWala cjapaniki ila hoja yake imenihukumu as if anayajua maisha ya ndani kwangu
Sikujui, siwezi kukuita mjinga, ila tunajadili hojamrsleo said:Kwa hoja hii umeongea as if unanijua lazma unefikiria mm ni mjinga kiasi hicho
Juzi ilikuwa pasaka jamani, hapakuwa na ofisi wala chochote. Kupika kg. 1 ya mchele na nusu ya nyama inahitaji kusaidiwa??? Mazingira ya kusaudiwa yako wazi kbs na hayana utata. Wewe unachotetea ktk scenario hii ni nini hasa? Mrsleo.
unayosema ni kweli na yaliwezekana kirahisi sana enzi hizo wanaume walipokuwa wana-play roles zao kama baba wa familia aka bread earners, na mke anakaa nyumbani. automatically, mama anajikuta anakuwa na role ya kutunza family.Hata kma isingekuwa pasaka wajibu wa mwanamke ni kupika na kuangalia familia na Usafi kukua kwa technolojia imeharibu watu na kuona ni haki or usawa ila tunajidanganya.
Mwanaume kusaidia kupo lakini sii kwa kuambiwa or kwa kulazimisha inakuja yenywe na inaleta upendo
Na mwanamke anayenuna sii mzuri kwa tabia.
hujanielewa au umeelewa tofauti.... Usipoonesha msimamo wako ww kuwa kipi hupendi na kipi unapenda na unataka afuate yapi yeye ataanza na haya: mfano anakuomba umsaidie kuosha vyombo na kufua nguo ww unakubali hapo anakunote, sku nyingne atakuomba umsaidie kupika ukikubali ananote,, baadaye tena anaanza kukubembeleza umsaidie kaz mbalimbali ww ukikubali ndio anakuteka hvyo... Kwasababu hujaonesha msimamo wako. Lakn mm binafsi sijawahi kununiwa kwasababu anajua msimamo alishapewa maelekezo kitambo
unaweza kusoma sana na usifaulu
usikariri ndugu mungu ndio mtunga mtihani kwa muongozo wake nitashinda
Hata kma isingekuwa pasaka wajibu wa mwanamke ni kupika na kuangalia familia na Usafi kukua kwa technolojia imeharibu watu na kuona ni haki or usawa ila tunajidanganya.
Mwanaume kusaidia kupo lakini sii kwa kuambiwa or kwa kulazimisha inakuja yenywe na inaleta upendo
Na mwanamke anayenuna sii mzuri kwa tabia.
Mungu anabariki juhudi zako. After efforts comes God.
Hata kma isingekuwa pasaka wajibu wa mwanamke ni kupika na kuangalia familia na Usafi kukua kwa technolojia imeharibu watu na kuona ni haki or usawa ila tunajidanganya.
Mwanaume kusaidia kupo lakini sii kwa kuambiwa or kwa kulazimisha inakuja yenywe na inaleta upendo
Na mwanamke anayenuna sii mzuri kwa tabia.
ndo kudeka kwenyewe huko
unayosema ni kweli na yaliwezekana kirahisi sana enzi hizo wanaume walipokuwa wana-play roles zao kama baba wa familia aka bread earners, na mke anakaa nyumbani. automatically, mama anajikuta anakuwa na role ya kutunza family.
waulize hawa wanaume wa siku hizi kama wanatimiza majukumu yao kama baba wa familia. wanataka mke akatafute hela, akitoka huko aje alee family. majukumu ya school fees, kununua chakula, ujenzi wagawane sawasawa na wake zao, ila ya nyumbani yabakie kuwa ya mke tu. waweza kuta mtoa mada hata hiyo hela ya nyama hakuitoa yeye, kaitoa mkewe