ouch!!!!! dongo zito hili.Usawa unaondoka pale neno "kuwezeshana" linapotumika kujustify failure ya wanawake!
Hizo slogans nyingine hutumika kisiasa zaidi...ila kiuhalisia hakuna hiyo dhana ni ngumu kutekelezeka
mwenyewe.....hahahahaLugha haisebehi ng'onda asitowelwe. Nateta nadhari kukuhidhi kuzimua taamuli. Roho sabili ka utribu wa mgogoto.
Adimu adhimu, si mchuzi wa ndimu.