Haki Huinua Taifa! Rais Samia kwa Kauli na Matendo ameonesha ni mtu wa Haki. Akitekeleza hili kama alivyosema, atabarikiwa, Tanzania itabarikiwa

Haki Huinua Taifa! Rais Samia kwa Kauli na Matendo ameonesha ni mtu wa Haki. Akitekeleza hili kama alivyosema, atabarikiwa, Tanzania itabarikiwa

😂😂😂Najua unaumia kimoyo moyo!

Yani dhalimu wa Samia umevunja rekodi!

Niliwashangaa sana eti mlikuwa mnamsifia hangaya ili kumkomoa Magu!

Mpeni tena zile sifa zenu nyambafu
Naumizwa na nini? Ww ndio umepata mahali pa kijipoozea maana umeona kumbe sio magu dhalimu tu, hata wengine wanaweza kuwa madhalimu. Ni hivi, magufuli ataendelea kuwa kwenye historia ya viongozi mashetani waliotawala nchi hii. Hutaki jinyonge.
 
We mjinga tu watu wanauawa wewe unahangaika na mwendazake! Kwa hiyo inabidi watu wafe sana Ili kufikia kiwango ambacho unadhani walikufa kipindi Cha unayemwita dhalimu ndiyo uone kuwa watu kupotea na kuuawa si sawa?
 
Kaongee na niliyemjibu yeye ndio kaleta habari za huyo dhalimu.
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, huandika Makala za "Kwa Maslahi ya Taifa". Hii ni makala ya wiki hii, iliyotoka kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.
View attachment 2285945View attachment 2285946
Karibuni.

Pasco
Hii ni haki ambayo Rais Samia alipaswa kuitekeleza kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa,haikutekelezwa,ila Rais Samia bado anayo fursa ya kuitekeleza kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025,kwa vile hakuna any justifiable reasons kwanini haki hii haikutekelezwa,then,there is no guarantee kuwa haki hii itatekelezwa kabla ya uchaguzi wa 2025。

Mungu Mbariki Rais Samia aweze kuwatendea haki Watanzania 2025

Mungu Ibariki Tanzania

P
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, huandika Makala za "Kwa Maslahi ya Taifa". Hii ni makala ya wiki hii, iliyotoka kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.
View attachment 2285945View attachment 2285946
Karibuni.

Pasco
Ameishiwa aibu yeye na mkwe wake, yaani uibaji wa kura upo wazi, utesaji na utekaji wa mawakala na uingizaji wa kura zilizopigwa kabla halafu anasema kuwa wameshinda? Kweli hawa watu mishipa ya aibu imeshakatika. Aibu aibu aibu.
 
Wanabodi,

Zawadi yangu kwa Birthday ya Mama nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,

Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.

Zawadi yenyewe ni Salaam tuu za Birthday zenye ki parcel fulani!

HBD Mhe. Rais Samia kwa kutimiza miaka 64!, nakupongeza sana na kukuombea afya njema!.

Mwakani 2025 utakuwa unatimiza umri wa miaka 65 na 2030 utakuwa na umri wa miaka 70, hivyo zawadi yangu ya pekee kwako ni HII na kukusisitizia, sio lazima kuizingatia saana kivile, ila ni muhimu kuisikiliza na kujisikilizia kama na wewe pia uliambiwa kama nilivyoambiwa mimi, kwasababu yule YEYE, sometimes ana tabia na mtindo wa kuwaambia watu wake, kupitia kwa watu wengine!, hivyo just listen and try to make sense of this, a think about it, if makes any sense to you, ikitokea it doesn't make any sense to you, then dismiss it as just another set of crap!.

Ila ikitokea na wewe pia uliambiwa, but you are not very sure kama ni YEYE au ni yeye, then don't take a chance!, usipuuze!, maana hicho kitu chenyewe, is nothing compared!.

If this being the case, then tunakuomba sana sana sana, ututekelezee haya mambo tunayokulilia nayo tangu umeingia kwenye usukani, tekeleza tuu yale yaliyomo ndani ya uwezo wako, maana kusubiria post 2025, it might be too little too late!. Please Mama!.

Na ikitokea wewe hujaambiwa mpaka 2025 inaingia na hujawahi kuambiwa na mtu mwingine yeyote, then ipuuze HII itakuwa sio sauti yake YEYE bali itakuwa ni sauti ya yeye tuu ambaye sio YEYE!.

Hivyo endelea na ule mpango wako wa 2025!, na Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.

Mungu Akubariki Sana!.
HBD Mamaa!.
Paskali
HBD Rais Samia!.
P
 
Nasuburia kwa hamu kubwa mahojiano yako Pascal Mayalla na mhe Samia. Naamini maswali yako yatajikita kwenye masuala ya maslahi ya taifa tu
Endelea kusubiria, huu ni mwaka kwa uchaguzi, hivyo baadhi ya watembea mabega juu, mwaka huu hujishusha, tuendelee kusubiria tuu, huku unakula mtori wako taratibu, nyama utakutana nazo chini!.
P
 
hili la uhaini linataka kumtibulia na kumharibia!
P
Adv.P,hiyo ndio silaha yao ya mwisho baada ya kubwagwa kwenye nguvu ya hoja na mwito za haki,uhuru na uwazi kwa taifa na kwenye chaguzi.Sasa hoja zinajibiwa kwa mabomu,risasi na kesi za kutungwa kwa msaada wa walinda amani,haki na uhuru.
 
Attachments

  • 6026553-bf15b8f6f927c72fa16d6bb328a5e41f.mp4
    14.1 MB
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, huandika Makala za "Kwa Maslahi ya Taifa". Hii ni makala ya wiki hii, iliyotoka kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.
View attachment 2285945View attachment 2285946
Karibuni.

Pasco
Hili ni bandiko la miaka mitatu nyuma,tulimuomba Rais Samia atekeleze jambo fulani kabla ya uchaguzi wa mwaka huu!。

Huu sasa ni mwaka wa uchaguzi,hili jambo lililoombwa hapa,bado halijatekelezwa!,ila Rais Samia bado anao muda wa kutosha kulitekeleza!。

Kuna akina sisi baadhi yenu ni majitu very optimistic,tukiomba jambo,hata kama muda unayoyoma tunaendelea kuliomba kwa kulisisitiza,kwa mtindo wa atakaye hachoki,akichoka kesha pata!,hivyo ombi hili bado ni very valid!na kwetu hata kama limechelewa kutekelezwa,bado tuna matumaini,litatekelezwa,kwetu it's not over,until its over!

Kwa mujibu wa katiba,rais ni mtumishi wetu,sisi ndio waajiri wake,na ndio tunae mlipa mshahara wake yeye na serikali yake yote kwa kodi zetu,hivyo sisi wananchi nikiwemo mimi na wewe, tuna kila haki ya kumtuma chochote,ukiona bosi wako anakuomba kitu,ujue ombi hilo ni ombi kwa kukuheshimu tuu,lakini kiukweli hiyo ni amri imeletwa kama ombi kwa lugha ya kistaarabu tuu!。

Tena nawashauri viongozi wetu, msiwadharau kabisa hawa watu wadogo ambao ni nobodies!,kuna wengine kweli they are nobody kwenye huu ulimwengu wa mwili ,they have nothing,ni masikini wa kutupwa na wanaishi kwenye lindi la umasikini uliotopea, lakini ni wakubwa sana kwenye ulimwengu wa roho,baadhi yao kauli zao,zina umba!, mfano mwangalie huyu jamaa,"Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia

Nashauri ukishauriwa kitu,kama hicho ulichoshauriwa,kiko ndani ya uwezo wako, just do!

Paskali
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, huandika Makala za "Kwa Maslahi ya Taifa". Hii ni makala ya wiki hii, iliyotoka kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.
View attachment 2285945View attachment 2285946
Karibuni.

Pasco
Haki huinua taifa.
Uovu huangamiza taifa.
Tafakari na chukua hatua stahiki kulingana na nafasi uliyonayo
Naunga mkono。Haki Huinua Taifa! Rais Samia kwa Kauli na Matendo ameonesha ni mtu wa Haki. Akitekeleza hili kama alivyosema, atabarikiwa, Tanzania itabarikiwa
P
 
Back
Top Bottom