Kabla ya kutolewa roho pitia hapa ofisini kwangu uweke oda ya jeneza, sanda na uchague utazikwa makaburi yapi...!!!
Umenitamanisha kwa kweli.
The return of Benteke.
Nipendwe na nani sasa...yaani unamaanisha mimi na wewe wote tuwe wanawake...hakiyanani [MENTION]Honey Faith [/MENTION]
Dah.! afadhali. maana
mmhh hizo rangi mchanganyiko mmhhh sikupatii picha unavyokuwa ila pole sana
hahahaha you made my day na post yako teteteh pole