mapengo junior
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,135
- 276
Shida nini sasa???
hahahaha......nakwambia mpaka nyimbo za diamond nimekremisha...vitoto vyasikuhizi havina adabu angalau ujue nyimbo mbili tatu za diamond ndio utavipata. Nilivyoikariri nyimbo ya "my number one" sasa, mpaka kuucheza huu wimbo naujua. kwi.kwi.kwi.
Huniveshi suruali ya njano hata kwa viboko
nikwambie hapa hapa au nikuanzishie thread kule CC? lol.
Huyo mkali ndo mzuri.....hujuwai kuona geti limeandikwa mbwa mkali lakini bado wezi wanaiba. Kama yuko huku mwambie kuibia lazima....kwi.kwi.kwi. ngoja nisubiri.
Usilojua ni sawa na usiku wa kiza!
Hahahahha... mkuu nywele zangu ni kama Samson. Akininyoa tu ntakosa nguvu.
Unaringaa..... [MENTION]miss chagga [/MENTION] anamjua.
Jamani kuna kabinti kameniloga sijui...kwa kweli sijui nini kimenikuta. kananigombeza hako....akinipigia simu nakimbia kama vile kuna bomu limerushwa ili tu asisikie kelele za sehemu niliyopo. Yaani nimejikuta tu namuogopa.Sijawai kwenda kwenye birthday lakini huwezi amini mpaka sasa ndani ya mwezi mmoja na nusu nshauzuria kama sio sita basi saba, zote za mashost zake na nikienda nae navalishwa kimodo......mwenyewe benteke shati la zambarau suruali nyekundu na viatu vya njano au shati la rangi ya udhurungi kamtura rangi maji bahari na makobasi meusi na soksi nyeupe...hah,sina hamu.