tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,310
Makopa nivuruge................
Mkuu uko under 25 kama mimi au?Jamani kuna kabinti kameniloga sijui...kwa kweli sijui nini kimenikuta. kananigombeza hako....akinipigia simu nakimbia kama vile kuna bomu limerushwa ili tu asisikie kelele za sehemu niliyopo. Yaani nimejikuta tu namuogopa.Sijawai kwenda kwenye birthday lakini huwezi amini mpaka sasa ndani ya mwezi mmoja na nusu nshauzuria kama sio sita basi saba, zote za mashost zake na nikienda nae navalishwa kimodo......mwenyewe benteke shati la zambarau suruali nyekundu na viatu vya njano au shati la rangi ya udhurungi kamtura rangi maji bahari na makobasi meusi na soksi nyeupe...hah,sina hamu.
Kabla ya kutolewa roho pitia hapa ofisini kwangu uweke oda ya jeneza, sanda na uchague utazikwa makaburi yapi...!!!
The return of Benteke.
Jamani kuna kabinti kameniloga sijui...kwa kweli sijui nini kimenikuta. kananigombeza hako....akinipigia simu nakimbia kama vile kuna bomu limerushwa ili tu asisikie kelele za sehemu niliyopo. Yaani nimejikuta tu namuogopa.Sijawai kwenda kwenye birthday lakini huwezi amini mpaka sasa ndani ya mwezi mmoja na nusu nshauzuria kama sio sita basi saba, zote za mashost zake na nikienda nae navalishwa kimodo......mwenyewe benteke shati la zambarau suruali nyekundu na viatu vya njano au shati la rangi ya udhurungi kamtura rangi maji bahari na makobasi meusi na soksi nyeupe...hah,sina hamu.
Usilojua ni sawa na usiku wa kiza!Haujitambui, pia ni limbukeni. Samahani kama nimevuka mstari.