Haka katoto katanitoa roho jamani.

Haka katoto katanitoa roho jamani.

hiyo reflection ni zaidi ya rainbow...unaweza kimbia ukajua jinni linakufata kumbe mtu......mimi mwenyewe saa ingine nikijiangalia kwenye kioo nataka nikimbie. Natisha ati. MankaM

hahahahaaaa nyuki wanafuata wakijua ni maua
 
Last edited by a moderator:
Jamani kuna kabinti kameniloga sijui...kwa kweli sijui nini kimenikuta. kananigombeza hako....akinipigia simu nakimbia kama vile kuna bomu limerushwa ili tu asisikie kelele za sehemu niliyopo. Yaani nimejikuta tu namuogopa.Sijawai kwenda kwenye birthday lakini huwezi amini mpaka sasa ndani ya mwezi mmoja na nusu nshauzuria kama sio sita basi saba, zote za mashost zake na nikienda nae navalishwa kimodo......mwenyewe benteke shati la zambarau suruali nyekundu na viatu vya njano au shati la rangi ya udhurungi kamtura rangi maji bahari na makobasi meusi na soksi nyeupe...hah,sina hamu.

Tamka neno "hudhuria" mara 5, kisha usirudie tena huu ujinga wako mahali pengine.
 
Huyu jamaa huwa ananiacha hoi na mambo yake.
Eti rainbow, panadol
No more comments
 
Jamani kuna kabinti kameniloga sijui...kwa kweli sijui nini kimenikuta. kananigombeza hako....akinipigia simu nakimbia kama vile kuna bomu limerushwa ili tu asisikie kelele za sehemu niliyopo. Yaani nimejikuta tu namuogopa.Sijawai kwenda kwenye birthday lakini huwezi amini mpaka sasa ndani ya mwezi mmoja na nusu nshauzuria kama sio sita basi saba, zote za mashost zake na nikienda nae navalishwa kimodo......mwenyewe benteke shati la zambarau suruali nyekundu na viatu vya njano au shati la rangi ya udhurungi kamtura rangi maji bahari na makobasi meusi na soksi nyeupe...hah,sina hamu.

Bado kiduku mkuu.
 
Sijamaanisha kama natu.kana hapo ulipo bold, kimtazamo wangu nilivyosoma thread yake limbukeni ni kwamba kanogewa saaaana na haka katoto. Yawezekana labda thread hii ni muendelezo wa nyingine, hapo kweli kwangu mimi ni usiku wa giza.

Kusaidia ni kwamba benteke ni super comedi wa humu JF, so dont take it serious, ukitaka kucheka mtafute anko benteke na thread zake. Na asipokuwepo tunamtafuta kweli.
 
Last edited by a moderator:
Kama nakuona unavyotembea na ule mwendo wako wa kijidai dai ukiwa na demu, swaga za kimodo (nguo marangi) unaenda zako bethidey na mtoto!
 
Back
Top Bottom