Severas
Member
- Oct 10, 2023
- 42
- 65
Anahisi Hawa ni walala hoi Kama mwaipopo na komboShida yako unamfananisha Ruwaichi na Mwaipopo!
Hulijui kanisa Katoliki!
Anahisi Hawa ni walala hoi Kama mwaipopo na komboShida yako unamfananisha Ruwaichi na Mwaipopo!
Hulijui kanisa Katoliki!
Mtaishia maneno hayo hayo. Wenzenu maisha yanaendelea. Tahamaki 2030 hiyo na watu wanarudi madarakani tenaChupi zao ZIMEWABANA! Hawana pa kutokea!
Tuliopita Seminary ngoja tunyamaze
Kwenye hao watanzania Mimi nitoeTuliopita Seminary ngoja tunyamaze
Huyu anafikiria maaskofu wa TEC ni sawa na wale mashehe wa BAKWATA wanaotoana ngeu wakigombea vijinyama toka MakkahUmeng'ang'ania mfano wa Kilaini, kana kwamba ndiye 'standard bearer'!
Mimi nimekwambia, hawa ni watu wanaojitambua; kama maana ya neno hilo hulijui, jaribu kutafuta maana yake.
Usifikiri hata siku moja hawa kuuza utu wao kwa sababu ya vipande vya dhahabu.
Kazi ya hawa ni zaidi ya hayo unayoyawekea wewe mkazo.
Wewe tafsiri hii umeipata wapi; unao mfano wowote unaoonyesha taasisi ikiyumba? Hukuona Juzi Mkuu wao alivyovimbiana na mkuu wa mabepari duniani; au huko kuyumba wewe umekusikia wapi?
Sindano ya motomganga bana dah?
umepigwa bumbuwazi au changa la macho? Ulijua kila mtu kaconsentrate na uchawi na ramli zako tu, right ?![]()
Na leo wamekuja na cinema ya Selemani Mwalimu na YangaPamoja na nia ya ku create image na kutengeneza diversion ya kesi ya TAL lakini kuna juhudi za uzuri wa mkakasi zinatengenezwa kuonesha hakuna mpasuko wala hawasigani
Mdogo kaenda kumpa hi mstaafu! Hapa inaeleweka wazi kwanini imepangwa kuwa hivyo
Mkubwa akapelekwa kuonana na wagalatia. Kwa tension na chuki iliyopo kati yao.. Aliyepanga hii visit hakuwa na nia njema bali kumharibia
Chemistry ya leo formula ilikataa upande mmoja na kama ni mechi basi ilichezwa nusu uwanja
Hivi ni sawa kweli kuchanganya togwa na ulanzi!?
Kichekesho kikubwa ni kwamba mwamba aliyeko korokoni ndio kabamba,😂View attachment 3647906
Hahahaha😂TAWIRE! 😅 ⚡✨🔥
View attachment 3648019
Skeleton dog ama chikeletoni?Pamoja na nia ya ku create image na kutengeneza diversion ya kesi ya TAL lakini kuna juhudi za uzuri wa mkakasi zinatengenezwa kuonesha hakuna mpasuko wala hawasigani
Mdogo kaenda kumpa hi mstaafu! Hapa inaeleweka wazi kwanini imepangwa kuwa hivyo
Mkubwa akapelekwa kuonana na wagalatia. Kwa tension na chuki iliyopo kati yao.. Aliyepanga hii visit hakuwa na nia njema bali kumharibia
Chemistry ya leo formula ilikataa upande mmoja na kama ni mechi basi ilichezwa nusu uwanja
Hivi ni sawa kweli kuchanganya togwa na ulanzi!?
Kichekesho kikubwa ni kwamba mwamba aliyeko korokoni ndio kabamba,😂View attachment 3647906
Duh 🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿😂Huyu anafikiria maaskofu wa TEC ni sawa na wale mashehe wa BAKWATA wanaotoana ngeu wakigombea vijinyama toka Makkah View attachment 3648124
Hahahahaaa!mganga bana dah?
umepigwa bumbuwazi au changa la macho? Ulijua kila mtu kaconsentrate na uchawi na ramli zako tu, right ?![]()
Hahahahaaa.Hayo ni mawazo yako ukizingatia hujawahi kumiliki akili, we nyumbu zero brain tunakujua.
Kitima gani? Kwani Kitima ndio TEC?Anza kumfuatilia Kitima kuanzia leo kama utamsikia anapiga kelele tena.!Method Kilaini Yuko wapi?!Kukataa Milioni 10 ya Birthday na hiyo ya kutotishika kujaziwa mafuta hizo huwa ni hadaa tu zenye kulenga kuwaaminisha Waumini wao kwamba wako ndani ya Taasisi imara sana isiyo yumba,lakini ukweli haiko hivyo ..Kanisa Katoliki linahitaji sana msaada wa ki pesa kwa sasa tangu liwepo na ni kwa Dunia nzima.
Kumpanga Samia kwamba tutapiga kelele usijali ila tuko pamoja hao jamaa ni jambo jepesi tu,ni waviziaji wazuri na wasoma upepo makini sana,ili wasisambaratike kirahisi.
Kwa hiyo hapa unaconclude kwamba aliye waalika ndiye mwenye pesa pekee za kutatua changamoto za kanisa?!Kanisa Katoliki linahitaji sana msaada wa ki pesa kwa sasa tangu liwepo na ni kwa Dunia nzima.
Kwa hiyo hapa unaconclude kwamba aliye waalika ndiye mwenye pesa pekee za kutatua changamoto za kanisa?!Kanisa Katoliki linahitaji sana msaada wa ki pesa kwa sasa tangu liwepo na ni kwa Dunia nzima.