Haka kamchezo ka leo kamenichekesha sana!

Haka kamchezo ka leo kamenichekesha sana!

Pamoja na nia ya ku create image na kutengeneza diversion ya kesi ya TAL lakini kuna juhudi za uzuri wa mkakasi zinatengenezwa kuonesha hakuna mpasuko wala hawasigani

Mdogo kaenda kumpa hi mstaafu! Hapa inaeleweka wazi kwanini imepangwa kuwa hivyo

Mkubwa akapelekwa kuonana na wagalatia. Kwa tension na chuki iliyopo kati yao.. Aliyepanga hii visit hakuwa na nia njema bali kumharibia

Chemistry ya leo formula ilikataa upande mmoja na kama ni mechi basi ilichezwa nusu uwanja

Hivi ni sawa kweli kuchanganya togwa na ulanzi!?
Kichekesho kikubwa ni kwamba mwamba aliyeko korokoni ndio kabamba,😂View attachment 3647906
Hayo ni mawazo yako ukizingatia hujawahi kumiliki akili, we nyumbu zero brain tunakujua.
 
Tabia moja inayompambanua Samia na wengine wote waliowahi kukaa kwenye nafasi hiyo ni kuamini kuwa anaweza kununua watu ili atimize matakwa yake.
Ninn pale tu inaposhindikana kuwanunua ndipo matumizi ya dola huachiwa kazi kushughulikia walengwa.

Kuhusu kuwanunua waghalatia, mbona hilo alishafanya mara nyingi tu, na kila mara inashindikana.

Ruaichi alipewa milioni kumi wakati wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwake, hakunyamaza.

Pesa ya mafuta ya gari kwa dioces mpya ya Bagamoyo, haikuwazuia kukataa uovu wake

Kwa hiyo usitegemee hata leo kama anatafuta kuwanunua watazame pembeni anapofanya maovu yake, hilo asahahu.

Hawa ni watu wenye 'misimamo; hawayumbi na upepo.
We ni wale waongo na wazushi, unajiandikia uwongo bila ht aibu, Rais Samia ni wa watanzania wote kukutana na makundi ya kijamiu ni sehemu ya ratiba zake na yeye si wa kwanza kufanya hivyo. TEC mojawapo wa hayo makundi ktk jamii na haina upekee wowote. Mnajifanya wajuaji, nyie ni masela mavi tu!
 
Apewe nani watu walinywea wote na mwenzao akawa mbuzi wa kafara..Au wewe kwa fikira zako unadhani ni kipi kinaweza kufanya pesa ielekezwe kwingine kama siyo ukata au umejipanga kubisha tu!?Chakula Cha Seminari chenyewe tunachanga Waumini na ada inalipwa na Maoaroko husema kabisa Vatican fungu la kuendesha Seminary kitengo kilichokuwa kinaratibiwa chini ya usimamizi wa Papa Moja kwa Moja hela hakuna hakina uwezo huo tena.!??
Tuliopita Seminary ngoja tunyamaze
 
Tatizo Wagalatia nao zama hizi ni njaa pia..si ajabu hata Mzigo umejaa na Mama yao asivyokuwa na siri tutayajua tu siku moja .

Kama aliwapa kwa hiari hela ya Mboga na kuanzia Maisha akina Wenje,Lema na Lissu waliporejea Nchini,akayatoa hadharani tena kwa kuwalalamia kwamba hawaimbi pamoja naye!!?

Labda....!Lakini huu unaweza ukawa ndiyo Mwanzo wa Mwisho wa Enzi za Kitima kuikosoa Serikali hadharani..

Hata Askofu Kilaini alikuwa mkosoaji mzuri.kumbe Altarini imechimbia Lumbesa za Manoti kutoka kwa Bilionea Rugemarila..Ile kusanuka tu akala winga na kimyaaa mpaka Leo hii.
RC ni next level hata hivyo ujue na hawana papara halafu hawafanyi mambo ya chino ya carpet kama wengine
 
Anza kumfuatilia Kitima kuanzia leo kama utamsikia anapiga kelele tena.!Method Kilaini Yuko wapi?!Kukataa Milioni 10 ya Birthday na hiyo ya kutotishika kujaziwa mafuta hizo huwa ni hadaa tu zenye kulenga kuwaaminisha Waumini wao kwamba wako ndani ya Taasisi imara sana isiyo yumba,lakini ukweli haiko hivyo ..Kanisa Katoliki linahitaji sana msaada wa ki pesa kwa sasa tangu liwepo na ni kwa Dunia nzima.

Kumpanga Samia kwamba tutapiga kelele usijali ila tuko pamoja hao jamaa ni jambo jepesi tu,ni waviziaji wazuri na wasoma upepo makini sana,ili wasisambaratike kirahisi.
Wakijichanganya nao watakuwa kama wakina Mrema wa CHAUMMA soon. Mwanadamu mwenye akili timamu lazima ujifunze kuzisoma alama za nyakati na kuitunza heshima yako ya kuumbwa kwa Sura na mfano wa Mungu kufa kupona.
Octoba 29😭😭😭😭😭😭
 
Tatizo Wagalatia nao zama hizi ni njaa pia..si ajabu hata Mzigo umejaa na Mama yao asivyokuwa na siri tutayajua tu siku moja .

Kama aliwapa kwa hiari hela ya Mboga na kuanzia Maisha akina Wenje,Lema na Lissu waliporejea Nchini,akayatoa hadharani tena kwa kuwalalamia kwamba hawaimbi pamoja naye!!?

Labda....!Lakini huu unaweza ukawa ndiyo Mwanzo wa Mwisho wa Enzi za Kitima kuikosoa Serikali hadharani..

Hata Askofu Kilaini alikuwa mkosoaji mzuri.kumbe Altarini imechimbia Lumbesa za Manoti kutoka kwa Bilionea Rugemarila..Ile kusanuka tu akala winga na kimyaaa mpaka Leo hii.
Hayo mambo sio kwa wakatoliki aisee, wangekuwa KKKT sawa
 
Kwa hiyo wewe hukumbuki alivyoambiwa kuwa "hamwogopi"?
hata hivyo, 'relevance' ya hayo maneno siioni popote katika hoja yako ya mwanzo.

hiyo habari ya kutafuta historia za hao mapapa wengine, muda huo sina. Mimi natazama tu haya tuliyonayo sasa hivi na dunia inavyokwenda.
Wewe umehitimisha tayari kwamba taasisi hiyo ipo kwenye wakati mgumu, mimi sioni ugumu huo wa kuwafanya waachane na kazi ya utume wao ili wafanye biashara!
Sidhani kama watabadili msimamo ili kudoea hela za umma wasioifanyia kazi. Ni dhambi kubwa kwa kanisa.
 
Anza kumfuatilia Kitima kuanzia leo kama utamsikia anapiga kelele tena.!Method Kilaini Yuko wapi?!Kukataa Milioni 10 ya Birthday na hiyo ya kutotishika kujaziwa mafuta hizo huwa ni hadaa tu zenye kulenga kuwaaminisha Waumini wao kwamba wako ndani ya Taasisi imara sana isiyo yumba,lakini ukweli haiko hivyo ..Kanisa Katoliki linahitaji sana msaada wa ki pesa kwa sasa tangu liwepo na ni kwa Dunia nzima.

Kumpanga Samia kwamba tutapiga kelele usijali ila tuko pamoja hao jamaa ni jambo jepesi tu,ni waviziaji wazuri na wasoma upepo makini sana,ili wasisambaratike kirahisi.
Shida yako unamfananisha Ruwaichi na Mwaipopo!
Hulijui kanisa Katoliki!
 
Anza kumfuatilia Kitima kuanzia leo kama utamsikia anapiga kelele tena.!Method Kilaini Yuko wapi?!Kukataa Milioni 10 ya Birthday na hiyo ya kutotishika kujaziwa mafuta hizo huwa ni hadaa tu zenye kulenga kuwaaminisha Waumini wao kwamba wako ndani ya Taasisi imara sana isiyo yumba,lakini ukweli haiko hivyo ..Kanisa Katoliki linahitaji sana msaada wa ki pesa kwa sasa tangu liwepo na ni kwa Dunia nzima.

Kumpanga Samia kwamba tutapiga kelele usijali ila tuko pamoja hao jamaa ni jambo jepesi tu,ni waviziaji wazuri na wasoma upepo makini sana,ili wasisambaratike kirahisi.
We ni mgeni wa TEC subiri uone Kama Kuna uovu utatendeka halafu kitima asiongee hiyo ni never. Kanisa linaendeshwa na michango ya waumini sio vijipesa vidogo vya serikali and infact kanisa lina pesa ya kutosha na haliyumbi kivyovyote
 
Back
Top Bottom