Anza kumfuatilia Kitima kuanzia leo kama utamsikia anapiga kelele tena.!Method Kilaini Yuko wapi?!Kukataa Milioni 10 ya Birthday na hiyo ya kutotishika kujaziwa mafuta hizo huwa ni hadaa tu zenye kulenga kuwaaminisha Waumini wao kwamba wako ndani ya Taasisi imara sana isiyo yumba,lakini ukweli haiko hivyo ..Kanisa Katoliki linahitaji sana msaada wa ki pesa kwa sasa tangu liwepo na ni kwa Dunia nzima.
Kumpanga Samia kwamba tutapiga kelele usijali ila tuko pamoja hao jamaa ni jambo jepesi tu,ni waviziaji wazuri na wasoma upepo makini sana,ili wasisambaratike kirahisi.