Haka kajamaa kana dharau sana.

Haka kajamaa kana dharau sana.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
ImageUploadedByJamiiForums1437587303.883588.jpg
 
waheshimiwa na suti zao wamekuja kukapokea hafu kanashuka kamevaa bukta iliyochanika na tshirt ya mtumba.... shwaini...
 
amelipwa dola milion mbili hapo
 
Messi kapendeza simple and clear

Kwa post namba 13 ya Bavaria kwenye uzi huu utagundua Messi yupo sahhi maana anaonekana akiwa kashika mwiko kama anajenga (sasa kwenye ujenzi tena aje na suti kama waheshimiwa wetu wanavyovaa suti wanakwenda kupanda mti huku wametandika zuria chini
 
Last edited by a moderator:
Europe ni baridi, Afrika ni joto
Muwe mnatumiaga na tuakili twenu tudogo wakati mwengine
Hv kuna heshima gani kuvaa suti wakati ni mla rushwa? ?si afadhali kuvaa sindausi lkn mwadilifu..wake up guyz
 
Back
Top Bottom