Haka kabinti kameniponza sana loh!

Mkuu menya inganyi, sio maneno makali ila ndio ukweli mchungu. wewe utapigaje dem mmeonana leo kesho unapiga!!!
 
Kuna kabinti tulikua tunachat nacho kwenye mitandao ya kijamii kama friend ikaja ikatokea siku moja nikiwa mikoani kwao tukaonana stori za apa na pale mwisho akaondoka kiukweli nilikaona kadogo kweli.

Sasa kesho yake akaja tena tukawa tunapiga stori akanipa habari zake za chuo nk badae Muda ukaenda akaniambia analala. Basi tukalala nikakuta tumevunja amri ya sita.

Kwa maumbile ya yule mtoto yalikua madogo nilitumia kinga but nakumbuka ilipasuka, cha kunishangaza yule mtoto michezo yake ilikua hatari kwa waelewa wataelewa alinipa nini.

Anyway sikuamini kwa rika Lake kama ule mchezo anauweza na alijifunzia wapi tuyaache hayo.. Nilimwambia kua nina mtu kwa hiyo aelewe hivyo basi siku zilienda simu zikawa nyingi hadi kero..

Baadae kaniambia ana mimba dah nilijuta sana maana sikutaka tena watoto wa nnje sasa kawa mjanja kutafuta no na mawasiliano ya ndugu zangu kwenye mitandao ya kijamii cha kusikitisha kawaambia dada zangu wote adi Bro zangu yaani mpaka aibu isitoshe simu kila saa usiku mchana kisa ananiambia atanikomoa niachane na mpenz wangu.

Najuta sana kiukweli kwa hivi vibinti nimeamua hata kuikataa mimba kabisa maana huyu kadhamiria kuniharibia kabisa... Au nifanyeje jamani?
Tumikisha akili mzee
 
Natangaza kabisa Ukitaka Ule vyangu we shika mimba tu,, na nitambue kweli ni yangu,, wala sijutii kabisa ,,maana nitakuwa nimefanya uzembe mwenyewe,,. Kodom zipo ,, harafu MTU apate mimba,,,Ukiona hivyo hata HIV ni simple tu kupata,, natembea mno nje ya ndoa ila huwezi sikia et Nina mimba yako,,,, wataanzia wapi?
 
Kichwa boga kikitawaliwa na kichwa piliton ndio madhara yake hayo.....wenzio tukiona maji yamezidi unga tunaamua kupika uji, ulishindwa nini kudiactvate account yako ndugu? Anyway baba jesika kasema tuzaliane tuu.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mkuu hicho ulichokifnay ulikusudia maana kwann ulimruhusu alale!?naamn ulimshawish kamà skosei lea mimba,lasivyo utapata laana maana mtt hana kosa wew ndio mwenye kosa
 
ndo mkome. kuchepuka mpaka na vibinti vya mitandaoni...tamaa mbele...shukuru umeambiwa mimba tu na si mngine.
 
id mpya ikija na uzi wa namna hii.........................................ni shiiiida
 
Kuna kabinti tulikua tunachat nacho kwenye mitandao ya kijamii kama friend ikaja ikatokea siku moja nikiwa mikoani kwao tukaonana stori za apa na pale mwisho akaondoka kiukweli nilikaona kadogo kweli.

Sasa kesho yake akaja tena tukawa tunapiga stori akanipa habari zake za chuo nk badae Muda ukaenda akaniambia analala. Basi tukalala nikakuta tumevunja amri ya sita.

Kwa maumbile ya yule mtoto yalikua madogo nilitumia kinga but nakumbuka ilipasuka, cha kunishangaza yule mtoto michezo yake ilikua hatari kwa waelewa wataelewa alinipa nini.

Anyway sikuamini kwa rika Lake kama ule mchezo anauweza na alijifunzia wapi tuyaache hayo.. Nilimwambia kua nina mtu kwa hiyo aelewe hivyo basi siku zilienda simu zikawa nyingi hadi kero..

Baadae kaniambia ana mimba dah nilijuta sana maana sikutaka tena watoto wa nnje sasa kawa mjanja kutafuta no na mawasiliano ya ndugu zangu kwenye mitandao ya kijamii cha kusikitisha kawaambia dada zangu wote adi Bro zangu yaani mpaka aibu isitoshe simu kila saa usiku mchana kisa ananiambia atanikomoa niachane na mpenz wangu.

Najuta sana kiukweli kwa hivi vibinti nimeamua hata kuikataa mimba kabisa maana huyu kadhamiria kuniharibia kabisa... Au nifanyeje jamani?
Unajua kuna miaka 30 jela?????
 
Back
Top Bottom