Haji manara na wake zake

Haji manara na wake zake

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Sasa hivi Haji anashikwa na wake zake vizuri tu
Halafu kuna mimi mida hii nashikwa na funza miguuni tu

Dah hii dunia kuna watu tumeletwa ili tuje kuona taabu tu

Na wasubiri wazee watafuta pesa kwenye comment
 
Nyie ndio tunawaambia Kila siku jaman tusitegeane hizi pisi ziko nyingi sanaa madhara yake watu tunachukua wanawake wawili wawili
 
Sasa hivi Haji anashikwa na wake zake vizuri tu
Halafu kuna mimi mida hii nashikwa na funza miguuni tu

Dah hii dunia kuna watu tumeletwa ili tuje kuona taabu tu

Na wasubiri wazee watafuta pesa kwenye comment
Mkuu, umeshakisikia kilichompata!?
 
Back
Top Bottom