Haji Manara kaacha ndara (ndala) mbele ya John Heche

huyo hua hajielezi gentleman,
ni mzuri zaidi kwenye kuropoka nonsense ambazo hata wanachadema wenyewe huona anaropoka nonsense tu

Kwa style yako nakushauri usije kutana Nate hasa ukiwa public au mbele ya kamera. Kwa sababu atakuabisha. Heche ni Mzuri akikutana na watu Aina yako.

Unamuona Emanuel Nchimbi? Yeye pia anahuo utulivu. Hana papara. Na Kila akiongea anaongea kwa uhakiki
 
Kwanza wale ukiwaita uwahoji,media ujipange sana maana mnaweza pata msala πŸ˜„

Ova

Tena ukitaka uone Moto na uwezo wake jifanye unampelekea za uso kama unataka kumshinda. Hapo lazima bodi ya ithibati sijui wahariri like barua hicho chombo
 
Manara alikuwa anahoji kama uvccm ila sio kama journalist
 
ni rafiki yangu sana gentleman,

kwamba Dr.Nchimbi hana papara, na ana aina ya utulivu mithili ya heche?

mbona hao watu ni tofauti kama chmvi na sukari gentleman? hakuna kabisa wanachofanana hata kimoja.
 
ni rafiki yangu sana gentleman,

kwamba Dr.Nchimbi hana papara, na ana aina ya utulivu mithili ya heche?

mbona hao watu ni tofauti kama chmvi na sukari gentleman? hakuna kabisa wanachofanana hata kimoja.

Gentlemen
Fuata ushauri wanguπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Sawa tutakuandalia interview akufanyie j.lokole basi πŸ˜„

Ova
Gentleman,
ni kupoteza muda au kupata hasara eti mnajadiliana na huyo mropokaji aliepoteza uelekeoa wa maisha
 
Sasa watu wenye kariba ya Lucas mwashamba kweli mkawakutanishe na Heche na watoke salama? Lazima apigwe spana. Uchawa na akili havikai pamoja..!!
maskini heche mropokaji,
kumbe anaonekani ni kichwa sana kwa mamluki wake, dah!
 
daima siachagi ushauri wa maana jukwaani hasa kutoka kwa wadau wa heshima wa JF,
lakini eti unishauri kuhusu mropokaji heche?

naona kama unanitukana kisayansi gentleman, jamaa ana mihemko ya kikurya ya kindezi sana aise

πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu Mimi na kisayansi wapi na wapi Mzee.
Matusi ya kisayansi nimewaachia nyie Wazee wa Archimedes ngule.

Ila zingatia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…