Haji Manara kaacha ndara (ndala) mbele ya John Heche

heche?
huyu huyu adict wa kubeti ambae alifilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kamari au kuna mwingine?
Jadili hoja iliyopo, acha kuatack kuondoa credibility ya kinachozungumziwa, btw any evidence ya kufilisika kupitia betting maana isije kuwa kama hoja ya mange eti no 1 ni mkoboaji bila ushahidi! Anyone can throw allegation. But what about proof?
 
lema alimdanganya abeti eti atapata pesa mingi zaidi,
kilichompata sasa

ikabidi arudi kuishi kwa wazazi. eti nae ni mtu wa maana kisiasa pale chadema masalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…