Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 39,574
- 91,886
Heche kwa Africa mashariki hakuna MTU anaweza muhoji
Sasa huu utani mkuu ahaa TAL sio wa kum compare na heche the guy is too farHeche anautulivu mkubwa ambao Hata Lisu anatakiwa auige.
Lisu ni mzuri kwa kujua mambo mengi lakini ni rahisi kumjaza sukari akapoteamo kwa sababu lisu pia anahasira
Sasa huu utani mkuu ahaa TAL sio wa kum compare na heche the guy is too far
Manara alidhani haya masuala ya siasa ni ubishi wa Yanga na Simba
Nakubaliana. Heche ana busara kuliko lissu. Ila integrity ya lissu ipo juu sana.Heche anautulivu mkubwa ambao Hata Lisu anatakiwa auige.
Lisu ni mzuri kwa kujua mambo mengi lakini ni rahisi kumjaza sukari akapoteamo kwa sababu lisu pia anahasira
Kwa mara nyingine saluti kubwa sana kwako brother Robert Heriel Mtibeli umechambua kwa kina sana hii mada. Na unajua mambo yalivyo kwa usahihii sana ktk hii nchi. Watu kama nyie mnafaa kuwa viongozi.Aiseeh!
Haji Manara ni muongeaji mzuri Sana. Na mwenye uwezo mkubwa hasa akikutana na watu wajingawajinga, wenye uelewa Mdogo.
Umaarufu na nguvu yake kuu ya kuongea ipo kwenye udhaifu wa wanaomsikiliza na anaokutana nao head by head. Wengi amewatoa nishai kwa sababu zifuatazo;
1. Haji Manara ni muongeaji mno mwenye uswahili ndani yake
Kwenye uongeaji wake hutumia mbinu ya maneno ya shombo na vikejeli vya hapa na pale Jambo ambalo huwafanya opponents wake kupoteza mhimili kwani wanakuwa too emotional au wanapoteza kujiamini.
2. Pili, Manara hutumia mbinu ya Victims na kujifanya mhanga ila yeye akikushambulia anakuja full. Hii inawafanya anaopambana nao wawe wamefungwa mikono. Kwani hawajiachii moja kwa moja.
3. Haji Manara hutumia mbinu ya kujifanya mtoto mjini na mtu mwenye connection ndefu. Hii huwatisha opponents wake wengi.
Kwani wengi huogopa watoto wa mjini.
Katika mechi ambazo Haji Manara kazicheza amepoteza Mechi Mbili tuu.
Mechi ya Kwanza ni Ile Aliyocheza na Jerry Muro. Ambapo Jerry yeye alifunguka na kurusha missile huku akikataa kufungwa mikono.
Hapa Manara aliacha Ndala( ndara) akaishia kulalamika na mashabiki na waamuzi waliingilia kati wakimtetea.
Jana Haji kama kawaida Yake akiwa na uzoefu Mkubwa wa mapambano ya kupepeta mdomo, kupangua hoja, kujenga hoja, kushusha vimondo na kejeli za hapa na pale.
Akiwa na uhakika na KAZI yake.
Manara hakuamini alipojikuta katika Hali ngumu dhidi ya Opponent wake John Heche.
John Heche alikuwa akiyajibu maswali na hoja za Manara kwa namna ambayo Manara mwenye hakuitarajia licha ya mbinu alizotumia Manara kama kawaida yake kumjaza Na kumpandisha Heche Sukari.
Lakini Heche alikuwa Mtulivu mwenye kujua nini anatakiwa kufanya kwa watu wa karba ya Manara.
Hatimaye Manara alijikuta akiacha ndara na akiondoka na ONYO kuwa HUKU USIJE yaani kwa vijana wa Chadema ni kumfuata Mamba kwenye kina kirefu.
Siri kuu ya kupambana na Vijana wa Chadema unapokuwa nao kwenye mahojiano;
1. Epuka Uchawa.
2. Ongea Ukweli.
Kwa sababu ukiongea ukweli automatic utaonekana uko smart.
3. Kama kuna sehemu serikali inakosea usikatae sema ni kweli. Lakini elezea namna serikali inavyohangaika kupambana na kukosea kwake huku nawe ukitoa maoni ya jinsi ya kurekebisha.
4. Tafuta Makosa ya Chadema yataje ili kumfanya opponent wako atumie muda mwingi kujitetea katika Makosa. Kumbuka kujitetea katika Makosa ndio Uchawa wenyewe.
Hata hivyo Opponent wako pia anaweza kuku neutralise hoja yako kwa kukubali Makosa ili asitumie muda mwingi kujitetea.
Huku usije utaacha ndala athee!
Kwenye siasa laZima uwe smart sana.Heche alimpelekea hukohuko kwenye yanga na Simba Manara kabaki kabung'aa
heche?Aiseeh!

tsaatsaatsaaaaaaahMkuu Lisu ni moja ya watu ninaowakubali Sana lakini ninakuhakikishia kwenye Mahojiano Heche anautulivu Sana kuliko Lisu.
Lisu anaudhaifu wa hasira, Lisu anaudhaifu wa dharau Fulani hivi, ni rahisi kuonyesha dharau endapo utamuuliza swali chini ya kiwango na akashindwa kutoa majibu strong
Heche anauwezo wa kujidhibiti kuliko Lisu.
Sio rahisi Heche umkamate kwa Hotuba zake Kwa sababu anaweza kujizuia. Lakini kwa Lisu kumkamata ni rahisi Sana.
Kama ni kwenye Mpira.
Heche anacheza mpira kama Gaucho yaani hatumii nguvu au Kama Messi.
Wakati Lisu anacheza Mpira kama Ronaldo CR7 . Anatumia nguvu
Kwa mara nyingine saluti kubwa sana kwako brother Robert Heriel Mtibeli umechambua kwa kina sana hii mada. Na unajua mambo yalivyo kwa usahihii sana ktk hii nchi. Watu kama nyie mnafaa kuwa viongozi.
NATAMANI SIKU UCHAMBUE TULIVYO ACHWA MBALI KIDEMOKRASIA KATI YA TZ NA KENYA. KENYA RAIA ANAWEZA AKAMSEMA RAIS BILA SHIDA. KENYA KIONGOZI YOYOTE HAWEZI KUTAMBUKA HATUA KUINGILIA MHIMILI WA MAHAKAMA NA JINSI MAHAKAMA ZETU ZILIVYOINGILIWA NA KUSHIKILIWA NA MHIMILI MWINGINE SERIKALI.
NATAMANI UCHAMBUE TULIPOFIKIA KIONGOZI YOYOTE HAWEZI KUJIUZURU KWA RIDHAA YAKE MWENYEWE (VINGINEVYO ANATAFUTA VYA KUTAFUTA). Kiongozi hawezi kukemea kwa uwazi yale yaliyosemwa na CAG
Kwa kuangalia tu akili ya Heche ndo uiweke level moja sawa na ya uyo chawa sope. Unapokua na udhaifu kuwa muungwana, ni sawa na yule DC wa kule pwani.
Kwenye siasa laZima uwe smart sana.
Manara ni layman tu
Head to headhead by head
Nakubaliana. Heche ana busara kuliko lissu. Ila integrity ya lissu ipo juu sana.
Shida ya kukulia uzaramuni mdomo unakua km cherehani1. Haji Manara ni muongeaji mno mwenye uswahili ndani yake