Haji Manara anashikiliwa na Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam

Kama heading inavyojieleza haji manara anashikiliwa kituo kikuu cha polisi dar (central)Kwa tuhuma za udhalilishaji mtandaoni na nyinginezo.
 
Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara anashikiliwa Kituo cha Polisi Central.

Manara muda huu anahojiwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma mbalimbali za udhalilishaji mtandaoni na nyinginezo.
View attachment 3366699View attachment 3366699
Wala hatokaa sana kwani tunajua Mstaafu wenu Mnafiki na Fisadi wa Bagamoyo Chalinze mwenye Urafiki mkubwa na Baba yake atapiga Simu na ataachiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…