gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,045
Mambo ya kijinga jinga kama haya ndio polisi wanayaweza sana, kosa la kukamatwa kwake mbona halina mantiki kabisa
Hii ni filamu iliyo andaliwa na mtajwa hapo kwa hiyo anayo na hati miliki pia.Manara ameingilia kazi ya MTU.Bashite anayetoa taarifa zinazotakiwa kutolewa na IGP/RPC anakamatwa lini?
Wanasimba wawe watulivu wakiliachia jeshi la polisi kufanya kazi yake na kwamba wanaamini MO atapatikana akiwa hai,” alisema Manara.
Acha kupotosha, hakusema familia ya Simba amesema familia ya Dewji, Dewji ana familia moja tu ya kihindi acheni upumbavu.Ni msemaji wa Simba kisheria kawaambia wana Simba mwana familia yao katekwa ili hata shughuli za Simba zihusiane na tatizo lililowatokea nadhani huko police kuna tatizo sehemu fulani sio bure...
Acha kupotosha, hakusema familia ya Simba amesema familia ya Dewji, Dewji ana familia moja tu ya kihindi acheni upumbavu.
Mlikuwa mnatamba mna pesa sasa ndio mjuwe mwenye pesa ni Dewji na siyo Simba.
Mzungu na albino wakiwa wamevaa mask unawatofautishaje???hivi walisema hao watekaji ni wazungu??!!
Nawe unaamini kabisa kuwa manara kakosea?Sijui nini kilimtuma kujidai msemaji wa familia,
Viherehere njaa bana