Haji Manara akamatwa, ahojiwa tukio la kutekwa Mo Dewji

Kwa polisi hawa wanaotembea na radio-call na virungu tusitegemee kupata ushahidi kwenye utekaji wa Mo......mwezi huu kuanzia machinga na mama ntilie watakamatwa wakatoe ushahidi
 
What's wrong with that?

Is it just because "hajatumwa na familia?"

Na ni familia ipi hasa ambayo polisi wanai - refer?

As far as I know, Mo Dewji ni mwanafamilia wa Simba Sports Club na Manara Haji ni kiongozi wa Simba S.C.....

Kosa liko wapi kwa wanafamilia wa Simba SC kutoa taarifa kupotea kwa mwanafamilia mwenzao?

Hawa polisi vipi lakini? Yaani badala wa deal na issues, wanahangaika na none issues!!

Ukweli ni huu: Mo Dewji amaepotea/tekwa na "watu wasiojulikana"...

Polisi fanyeni kazi yenu " professionally" kuwatafuta hawa " wasiojulikana" wajulikane. Acheni kucheza game za siasa za longo longo za wanasiasa wa sampuli ya Paul Makonda a.k.a DAB , RC wa DSM!
 
Haaaa..mie nikafikiri anahusishwa na kupotea moja kwa moja kumbe ni kutoa taarifa...kweli??Mbona wanatutoa nje ya reli
 
Wanasimba wawe watulivu wakiliachia jeshi la polisi kufanya kazi yake na kwamba wanaamini MO atapatikana akiwa hai,” alisema Manara.

Labda kama kuna taarifa nyingine tofauti na hiyo Huyo Manara aliyoisambaza, ila hii hapa sioni tatizo lolote lile kaandika kiuweredi kabisa .
 
Ni msemaji wa Simba kisheria kawaambia wana Simba mwana familia yao katekwa ili hata shughuli za Simba zihusiane na tatizo lililowatokea nadhani huko police kuna tatizo sehemu fulani sio bure...
Acha kupotosha, hakusema familia ya Simba amesema familia ya Dewji, Dewji ana familia moja tu ya kihindi acheni upumbavu.

Mlikuwa mnatamba mna pesa sasa ndio mjuwe mwenye pesa ni Dewji na siyo Simba.
 
Unaweza kusikia MANARA ANAHUSIKA NA UTEKAJI
maana Waliomuua AQWILINA wanaendelea kula mshahara na posho huku akina MBOWE ndio wanakabiliwa na kesi..
Akina CHEMBA walimnyanyasa NONDO eti kajiteka na kuchafua sura ya nchi wakati wanaochafua sura ya nchi wanalipwa..
 
Acha kupotosha, hakusema familia ya Simba amesema familia ya Dewji, Dewji ana familia moja tu ya kihindi acheni upumbavu.

Mlikuwa mnatamba mna pesa sasa ndio mjuwe mwenye pesa ni Dewji na siyo Simba.

Mkuu familia ina maana nyingi hata wana JF ni familia moja kama ni muelewa lakini..

Siwezi kukujibu kwa kukutukana nashuruku Mungu sikulelewa maisha hayo na kutokudharawau watu...

Na pia Mimi ni Yanga sijazungumza kwa ushabiki hapo...
 
Zamani mafia walikuwa wanatumia vilabu vya mpira kutakatisha fedha na kupiga deals nyingine,marii balotelli anafahamu hii habari vizuri
 
Back
Top Bottom