Hajawahi kuniambia kama namridhisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hajawahi kuniambia kama namridhisha

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by fikirini, Jun 19, 2011.

 1. fikirini

  fikirini Senior Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mambo vipi ndugu zangu,.....mimi ni (ME) tatizo ni kwamba (KE) wangu hata siku moja cjamsikia akisema nimemfikisha kwenye tendo. hata hivyo bado najiamini kuwa huwa nafanya kazi yangu kiukamilifu na kwa ubunifu mkubwa, Lakini pia wanawake huwa wanajua kuwa hata sisi wanaume tunahitaji kuridhika? any way swali langu la msingi ni hili, kama sijaambiwa na mwenzangu kuwa ameridhika, mimi naweza tumia ishara gani toka kwake kujua kuwa nimewajibika kwa ufasaha, maana nikimuuliza anaweza kunijibu kuwa kafika lakini ikawa si kweli bali ananiridhisha tu!
  Nawasilisha
   
 2. S

  Sharp Observer Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Desa hili hapa, chukua copy halafu nirudishie baada ya kutumia. Fake and real women's orgasm zinajulikana.
  Mwanamke wakati anafika:-
  1. Utamwona jinsi midadi/pressure zinavyompanda na inaambata na milio japo wa mtu wako unaujua mwenyewe
  2. Juhudi yake inaongezeka maradufu pamoja na kukung'ang'ania
  3. Uke unabana zaidi kiasi kwamba urahisi wa kuingiza na kuchomoa unapungua
  4. Anatenda matendo ambayo yapo nje ya uwezo wake yeye kuyacontrol
  5. Wakati ndio bao lake linakaribia kutoka anaweza:
   • Kukukumbatia kwa nguvu zaidi
   • Kutamka maneno ambayo usipoangalia mengine unaweza hata kucheka, maana hajitambui (usithubutu kucheka maana hatafika tena)
   • Kukuimba hata kwa jina lako
  6. Akishapiga bao analegea, anakuwa mpole sana, aibu nyingi macho makavu hayawezekani tena, anakuwa mwepesi kupitiwa na usingizi baada ya kuishiwa na nguvu.
  7. Anaweza asikupe ushirikiano mzuri wa kuendelea na bao la pili, maana yeye tayari.
  8. Kama ni usiku, kesho yake majukumu yake ya kawaida ya nyumbani anayatenda kwa upendo zaidi. Kama ni mke utamwona akiperform kama mwanamke, mke wa mtu.
  9. KWA UFUPI VILE UNAVYOPIGA BAO WEWE NA YEYE NI HIVYOHIVYO
   
 3. hKichaka

  hKichaka Senior Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Namfikiri hayo mambo mnapaswa kuzumgumza mzee mwambie kila kitu,usiposema akitoka akija kwetu hataacha kuiba maana sisi ni noma
   
 4. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Inawezekana humfikishi kweli ndiyo maana hana sababu ya kusema. Pia usipende kujiamini kwa kitu kinachohusi hisia na mapokeo ya mwenzako. Si kila Me anapojituma na kuhema sana maana yake amemridhisha Ke. Sometimes unaweza kuwa unamkwangua mgongo wakati muwasho upo kichwani. Kuwa mwangalifu sana kijana. Mapenzi ni very mysterious science. Wataalamu wanadai ni psychological, physical, emotional, nk. nk. nk. Tumia muda mwingi kujifunza na si kudai unajiamini. Utajiamini nini wakati professors wenyewe wakati mwingine wanalazimika kusoma vitabu walivyoviandika wenyewe ili kujua kilichoandikwa kwa uhakika. Wewe utajiamini vipi kwa mwanamke ambaye hujamuumba wewe?

   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  L.....o....l...zzz!!!!
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,138
  Trophy Points: 280
  Muulize mwenyewe! unanshangaza, mpenzi wako wewe halafu unashindwa kuongea nae openly, wakati mmeweza kuvuliana nguo? ME na KE nachukulia ni mume na mke.
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Mkuu thanks,hata mimi binafsi nimepata somo la ziada
   
 8. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,956
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Mku Sharp Observer,
  Very good points! Hapo kwenye dondoo za point # 5 umesahau kuweka kwamba "Anaweza kukuuma bila yeye kujijua". (Ukiumwa tafadhali usikurupuke kukimbia. We tulia tu maana hayo ndo mambo ya "utamu kolea".)
   
 9. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  wanawake wengi ni wazito kuongea kwa wanaume zao kuwa wameridhika, mara nyingi tunafanya by the way of implication, vitendo tu utajua huyu ameridhika, macho, kicheko, kujikumbatisha kwako na mengine .....jaribu kila mmalizapo mahaba yenu kumuuliza umefurahi mpenzi wangu atakujibu, kila mara muulize mwishoni atakuwa anajua swali linakuja hivo atajiwahi kukwambia,"mpenzi, ya leo ni kali"
   
 10. l

  lucy mboya Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 18, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ili mwenza wako aweze kuwa muwazi kwako lazima ukaribu wenu uwe wa namna nyingi awe pia rafiki yako wa karibu na muwe mnaweza kutaniana ama kuongea nast words bila kuoneana aibu ndipo anaweza kukuambia kila kitu.
   
 11. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  wewe unataka usifiwe kwa kazi mbovu kama jk
   
 12. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu ..nakubaliana na desa la hapo juu lakini nachukulia kama "mechanical approach" ambayo ina – depend na kuwajibika uwanjani..binafsi ningependa kuongeza ifuatavyo..

  Kuridhika kwa mwanamke kunatokana na vitu vingi sana na siyo Physical Sex action alone..kama minguvu yako imesadia basi ilikuwa bahati tu..kumbuka mwanamke ni kiumbe very sensitive kimwili na kiroho..sasa wewe ukitaka kumridhisha mkeo au mpenzi wako basi kumbuka kufanya mapenzi kwa mi-nguvu au kunywa dawa ile uume wako uwe mrefu haitokusaidia..

  Kwanza inabidi umwandae mwanamke kisaikolojia kabla ya kitandani..Mapenzi kitandani ni sehemu ndogo na ya mwisho kabisa..Kitu kikubwa ni maneno yako na matendo yako ya siku ile vitu hivi vinachangia sana kumridhisha mwanamke kitandani..Jaribu kuvuta hisia za mwanamke siku nzima na hata wiki nzima..muonyeshe unamjali na unampenda..sio kwa kumwita darling ila kwa vitendo..maandalizi ya mwanamke kuwa na hamu ya mapenzi yanachukua muda..Kumbuka inakuchukua muda wa dakika 5 wewe kama mwanaume kufika kileleni..lakini inachukua hata dakika 20 hadi 30 kwa mwanamke kuwasha tu na kupasha moto mapenzi..Sasa wewe ukiwa unakurupuka utakuwa unachekesha…Kumbuka unaweza kupunguza muda huu kama utakuwa umendaa mazingira mazuri ..hapa siongelei "foreplay" ambayo mimi naiweka kama sehemu ya "action" naongelea vitu ambavyo haviendi kabisa na hiyo action..yaani ume-behave vipi siku hiyo, umeongea nini, sms gani umetuma..yaani .. tengeneza Peaceful environment.. ukiweza kutayalisha mazingira haya..ukifika ule wakati wa 6 by 6 ..yaani zile dakika 20 za warm up zitapungua hadi 10…na wewe kama nanii yako ni ndogo basi siku hiyo itaonekana kubwa..kwani dada atakuwa amekuweka moyoni na rohoni kabla hata ujagusa "armour" ..yaani hata kama sio mjuzi yeye atakuwa ameshakufanya mjuzi..yaani anaridhika kuwa nawe zaidi kuliko mapigo yako..Anaridhika kwa kumkumbatia kuliko mapigo yako…Na kama wewe sio m=binafsi kama walivyo wanaume wengi hutapenda kufunga goli within 5 minutes..utasubiri uone upande wa pili ukoje..

  Dalili za kuwa mwanamke ameridhika ziko nyingi..sio za hapo kitandani kwani zaweza kuwa fake..Angalia lugha..kujali/care..discipline..behaviour n.k..yaani kama rafiki yako ni mzungu unaweza shangaa akakimbilia jikoni kukupikia ugali ingawa hajui…Ukiona dalili hizo ujue
   
 13. big-diamond

  big-diamond JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 224
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Wadau! Sipishani sana na wasemaji waliotangulia ila ukweli wa kwanza ninaoufahamu ni kwamba wanaume wengu tunapenda sana kujisifia na kujiona twaweza kila kitu.

  Wanawake wengi huwa hawahitaji miguvu sana ili waridhike, Mwanamke ili aridhike anatakiwa kuwa mwenye furaha before tendo.....maana wewngine hutumia tendo kama suluhisho la ugomvi....

  Pili kule down stairs mwanaume wa kweli unatakiwa kupajua kama moja kati ya viungo vyako,,yan kama mkono wako ulivyo au mguu....kuwa mbunifu wa matukio mapya sio kila siku pale pale na vile vile

  Wanawake wanaona aibu au kuhofia kukuumiza endapo watasema hawajaridhishwa so huwa wanavumilia tu bas.....hivyo sometimes jifanye kama kichaa....ongea maneno ya ndani...tamka kama yalivyo nae atazoea then atakwambia...

  Alafu..hivi kwa nini usianze kusema kama umeridhika na siku nyingine useme hujaridhika...atazoea nae atakuwa muwazi...

  Kuna kitabu kinaitwa THE BLACK BOOK FOR WOMEN nilikisoma kinasaidia kiasi.....hasa ukichangia na ujuzi wako

  Na kuna hadi vitabu vya kuwa mkali wa ku approach warembo...

  Sante Wazee
   
 14. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  maana yake hujawahi mridhisha. simple
   
 15. wahida

  wahida JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :a s 12:
   
 16. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,121
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  Kumfikisha wapi kariakoo,posta au gongo la mboto.
   
 17. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Sio mchezo, tuta iripoti kama 'Animal bite' teh teh..
   
 18. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Under-18
   
 19. fikirini

  fikirini Senior Member

  #19
  Jun 19, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani Faizafoxy, samahani kama nimekukwaza na kukushangaza, hadi nimeileta hapa hii thread nahitaji msaada. kuongea huwa tunaongea lakini sidhani kama huwa ananiambia ukweli, so nikaona heri nijue hata asiponiambia basi nijue pale anaporidhika anakuwa na ishara zipi......
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Pugu kajiungeni
   
Loading...